Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natoa salamu kwenu marafiki na ndugu zangu. Kwa wale wasiolifahamu hili kabila. Wamanyema ni kabila linalopatikana katika mkoa wa Kigoma, hasa hasa maeneo ya mjini kama vile Kigoma mjini...
9 Reactions
120 Replies
19K Views
Salaam ndugu Wana JF, Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF. Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii. Twende kwenye hoja.. Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya...
74 Reactions
204 Replies
24K Views
Utakuta mkuu wa idara kwenye hizi halmashauri zetu analipwa mshahara wa 'leaders scale' pamoja na house allowance, electricity allowance, communication allowance, usafiri pia anapewa na kazi...
5 Reactions
39 Replies
9K Views
  • Redirect
Tulipofikia sasa nimekumbuka Biafra War .Haya haya yalianza hivi hivi. Utawala ukishashindwa kusimama kujua wote tunaitaji kuwa wamoja. Usitarajie hiyo serikali itafika kuwa moja. hapa ndio...
1 Reactions
– Replies
– Views
Mafanikio hayana kipimo ila kila mtu na mafanikio yake kulingana na malengo aliyojiwekea Sasa jamii yetu ya kibongo ukimuelezea mtu mafanikio yako yawe makubwa au madogo hujawa na makasiriko na...
11 Reactions
99 Replies
1K Views
Sipo hapa kumtisha ila nipo hapa kumpa alert kujilinda zaidi, anajadiliwa sana na watu wa kulee, awe makini sana! Naomba usipuuze hii! Kaa maeneo salama na pia avoid any meeting na yeyote...
65 Reactions
121 Replies
3K Views
Hivi waliokubaligi hayo mambo ya kijinga na kuyaweka kwenye sheria za Nchi ni kina nani? Yaani hizo dini zenu zinasema mwanaume ndio anatakiwa kulisha familia,mwanamke akiwa na Mali ni zake...
2 Reactions
7 Replies
143 Views
Na siku hizi kahisi anaweza kuupata ubunge kwa zali basi katulia tulia maneno ya kiburi kapunguza sana hapo yupo na watu wake wanaomsapoti wanaenda kuvimba kidogo nyumbani aisee wenye nacho...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Yeye akiwa na shida anaomba nimsaidie pesa. Namsaidia. Mimi nikiwa na shida. Anataka anipe kipapiro/papuchi. Ambacho hicho anacho yeye all the time so haingii gharama. Eti ndo mapenzi ndo sadaka...
3 Reactions
7 Replies
209 Views
Anonymous (f836)
Mimi ni mchimbaji mdogo katika moja ya Vijiji katika Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya, kero yangu ni kuwa kumekuwepo na tabia ya mazoea ya kuchoma dhahabu mbichi kwa moto wa mkaa katika hizi buying...
5 Reactions
7 Replies
365 Views
Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo. Kuna bro ni...
38 Reactions
47 Replies
1K Views
Kuna Bar inaitwa Bambataa iko barabarani kiasi kwamba walevi ndani wakijaa wengine wanasimama barabarani , nimefatilia kwa nini yenyewe haipo katika list ya Bar hatarishi nikaambiwa ni ya Kigogo...
3 Reactions
27 Replies
448 Views
Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na...
4 Reactions
25 Replies
409 Views
Bara la Africa ndipo ambapo dini za wazungu na Waarabu za Ukristo na Uislamu ziliweza kufuta kabisa dini za wenyeji na kuchukua nafasi kama dini kuu mpya. Jambo hili halikuwezekana kwa mataifa ya...
10 Reactions
110 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew Julai 4, 2026 amewataka watendaji wa mamlaka za maji nchini kutekeleza majukumu yao kwa wakati bila kusubiri ziara za viongozi wa Serikali, akisisitiza...
1 Reactions
3 Replies
160 Views
Kuna watu wawili wamekaa meza moja wanakunywa bia, wote wameanza muda mmoja na wanakunywa karibu kiwango kinachofanana.Baada ya muda ,Mmoja ameenda kukojoa mara 3.Mwingine hajainuka hata mara moja...
4 Reactions
16 Replies
660 Views
Mi nikiona mtu mwanaume mwenzangu ana lalamika kuwa wenye pesa wamemchukua au kadanganywa na mali. Kichwa cha habari kishajieleza hapo juu. Wanawake wengi wamejificha kwenye bei ya kujiuza kama...
2 Reactions
15 Replies
308 Views
Nilipokuwa mtoto, niliwatazama wahitimu kwa heshima kubwa. Kwangu, cheti cha chuo kikuu kilikuwa ushahidi wa juu kabisa wa akili, hekima, na maadili. Niliamini kwamba mtu yeyote aliyetumia miaka...
2 Reactions
3 Replies
136 Views
Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’. Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye...
4 Reactions
17 Replies
625 Views
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…