Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na...
1 Reactions
21 Replies
409 Views
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Jamhuri ya Afrika Kusini unawajulisha kuwa, kesho tarehe 03 Septemba 2026, Watanzania 200 waliokuwa wakiiishi Jijini Cape Town nchini Afrika...
1 Reactions
1 Replies
36 Views
Mamlaka ya Maji Sengerema (SEUWASA) imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa za kiutendaji na kifedha, hali ambayo imeanza kuwaathiri sana watumishi pamoja na utoaji wa huduma kwa wananchi. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
124 Views
Wasanii ni jeuri na kuna ambao waliapa waziwazi hawawezi kurudi kwa wananchi kuwaomba msamaha kama wananchi wana jeuri basi wasusie kazi zao au show zao . Wananchi kweli mwanzoni walitikisa...
4 Reactions
14 Replies
187 Views
Huyu demu alikuwa mke wa Madebe. Juzi alipost picha zake za zamani, watu wakamuonea huruma wakisema maisha aliyokuwa anaishi kipindi hicho yalikuwa yamemchosha sana. Cha kushangaza, yeye mwenyewe...
7 Reactions
88 Replies
903 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mfumo wa Fahamu Muhimbili (MOI) inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kisasa, ikiwemo ujenzi wa majengo mapya ya OPD, huduma kwa wagonjwa binafsi na wa kimataifa...
1 Reactions
0 Replies
25 Views
KUHUSU MCHEZAJI ANAYELIPWA ZAIDI TANZANIA: MIUNDO NA MIKAKATI YA MSHAHARA Feisal Salum (Fei Toto) analipwa mshahara mkubwa zaidi kwa sasa nchini akipokea kiasi cha Shilingi milioni 100 kwa...
2 Reactions
16 Replies
267 Views
Habari ya leo Wana jf! Ninaomba anayeifahamu vizuri M-Wekeza ya Vodacom anielimishe kuihusu! Nimejaribu kuwapigia vodacom kwenye namba 100 naona ni maelezo mengine yanayotolewa na hata hakuna...
4 Reactions
7 Replies
101 Views
I kept coming back to two lines that seem to say the same thing. One is clean and modern: "I don’t owe anyone an explanation." The other is harsher: "A bee doesn’t waste its time trying to prove...
7 Reactions
3 Replies
132 Views
  • Redirect
Kwa sababu binadamu hajatokana na sokwe au nyani. Sokwe na nyani ni ndugu zetu tu au wapwa wetu wa katika evolution ila sio wazazi wetu au chanzo cha binadamu.
5 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Kwa wenzetu mliotembea je uko kwingine majeshi ni mali ya wananchi au ni mali ya serikali na hata hapa tanyania nikweli JWTZ ni mali ya wananchi au mali ya serikali?
0 Reactions
8 Replies
122 Views
Kaya 67 zinazoishi kwenye eneo la maarufu la Maisha Plus la Kitongoji cha Bago, Kijiji cha Msakangoto na Kata ya Kigombe Wilayani Muheza wamekubali kulihama eneo hilo, kumpisha mwekezaji wake...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
1)Elewa ukomo wa fikra, Ni mambo mengi yanajiri katika maisha yetu, Si yote tunauwezo wa kuyadhibiti tupendavyo katika uhalisia. Lakini fikra zetu zimebeba vita kubwa ambazo mikono yetu haiwezi...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…