Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia.
Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya...
Wazalendo
Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna...
Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani.
Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung.
Kashafika level ya kurusha ndege.
Wajuzi mtueleweshe...
12 June 2026
Dar es Salaam, Tanzania
ALIYEDAIWA KUMUUA MKEWE GOBA AACHIWA HURU - TAZAMA ILIVYOKUWA MAHAKAMANI...
https://m.youtube.com/watch?v=qkpCmDpGCR8
Katika hatua ya sasa ya kimahakama...
Hii ni tahadhari kwa wajasiriamali wenzangu. Serikali kwa sasa inapambana hatua kwa hatua kuboresha shule zake hasa upande wa taaluma. Kufungua shule huku serikali ya CCM ikitoa elimu bure na...
Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.
Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba...
Yesu Anajibu ni channel inayochunguza jinsi Yesu Kristo angejibu maswali, changamoto, na mahitaji ya watu wa siku hizi kwa kutumia mafundisho ya Biblia. Kupitia maswali na majibu, tafakari, na...
Kuna mada hapa zilishaeleza malalamiko kuhusu watu wengi wanajikuta wakiingizwa kwenye kesi ambazo mda mwengine na yeye kama anajiuliza ilikuwaje.
Nilichojifunza kwa wenzetu ni kwamba kama...
Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa...
Mabadiliko yaliyofanyika kwenye mataa ya kuongoza magari katika Barabara ya Bibi Titi yameleta mkanganyiko mkubwa kwa madereva. Aidha, inaonekana askari wa usalama barabarani wamegeuza eneo hilo...
Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi...
Makampuni mbalimbali makubwa ya saruji nchini (ikiwemo Dangote, Moshi Cement/Jun Yu, Tanga Cement/Simba, Lake Cement/Nyati, na Mbeya Cement) yametangaza kupandisha bei za bidhaa zao kuanzia...
Why do women nowadays look for nanny's to look after the children ! Sometimes its better to be a housewife for the safe of the child
Kwanini wanawake sikuhizi wanatafuta watu wakuwatunzia watoto...
Dah kumbe na nyie wamoravian mnatumika..? Mbona njaa inawashushia heshima yenu hivyo..? Kumbe siyo bure askofu Mwamakula aliwakacha baada yakuona nyie ni watumishi wa tumboni..
Haya sasa huu...
Mbunge wa nchini Norway, Himanshu Gulati ametembelea nchini Tanzania na kupata nafasi ya kukutana na Wanasiasa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
Mmeonyesha umoja na mshikamano wenu kwa dunia nzima, na huo ni ujumbe tosha kwa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha ndani ya vyama vya siasa ikiwa ni pamoja na chadema, na kwamba...
Hv ndivyo nilivyojua na kujiunga JF mwaka 2023 Nilipata idea ya ku GOOGLE hadithi vichekesho n.k sasa kila nikigoogle hadithi kwenye google kuna kuja blog mbalimbali ila kila nikisoma hadithi hua...
Leo tarehe 08.07.2026 shule nyingi zimefunguliwa.
Serikali imekuwa ikitoa matamko kwamba wanafunzi wasirudishwe nyumbani kwa sababu ya kutolipwa kwa michango yoyote shuleni.
Hata hivyo hali ni...
L/G
Hii inatokana na Nini? Na sitaki kuamini ni Africa nzima tupo hivi ila ningependa niwasilishe hii Kwa nchi hii pendwa ya Tanzania
Kwanini? Ni police force na sio police service, unakuta...