Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam wananzengo na majukumu ya hapa na pale. Kero yangu iko kwa ndugu zetu wa mifuko ya hifadhi hasa watu tulio private sector tunaohudumiwa na shirika la mifuko ya hifadhi ya taifa kwa maana...
4 Reactions
3 Replies
254 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hivi Kati ya Senior Member, JF-Expert Member na Platinum Member, nani ana cheo kikubwa zaidi? Mchango wenu Wakuu
7 Reactions
76 Replies
1K Views
Habari wakuu,nina shida sana ya pesa kuanzia milioni 1 kutokana na mkwamo wa uchumi nilio nao, lakini bahati mbaya kwa sasa watu wanaonizunguka pamoja na ndugu zangu hakuna mwenye uwezo huo na...
8 Reactions
60 Replies
908 Views
Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk. Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani...
3 Reactions
9 Replies
308 Views
Habari, za muda huu ndugu zangu wana JF. Kwenye maisha, kuna mambo mengi tunapitia mazuri na mabaya. Naamini sio wote tumewahi pitia mambo magumu kiasi cha kutamani kufa au Dunia ifike mwisho...
5 Reactions
18 Replies
281 Views
Dajjal Au Kwa Jina La Kiingereza Antichrist;Huyu Ni Kiumbe Atakayeibuka Zama za Mwisho Wa dunia Na Kudai Kuwa Yeye Ni Mungu. Katika Vitabu Vya Dini Vinasema Hakuna Nabii Yoyote Alopita Bila...
33 Reactions
446 Replies
33K Views
Siku hizi ukiangalia mitandao ya kijamii Tanzania kuna kitu kinaonekana wazi sana, ma-beef kati ya watu maarufu yameongezeka kwa kiwango kikubwa. Kila wiki kuna mtu kagombana na mwenzake, wengine...
1 Reactions
1 Replies
189 Views
Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23 Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia...
12 Reactions
85 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amewatahadharisha viongozi wa vijiji nchini kuacha kujihusisha moja kwa moja na uuzaji wa ardhi bila kufuata taratibu za...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile...
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Kwa WAZAZI NA WALEZI. Imekuwa ni kawaida kusikia wazazi na walezi wakilalamikia tabia ya watoto wao kukosa heshima. Wengi wanaona watoto wao wana jukumu la kuwaheshimu tu bila kuangalia upande wa...
1 Reactions
0 Replies
108 Views
Hali ya barabara Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Kwa Mang’umbi hadi Tankini, leo Desemba 28, 2025, ni ya kusikitisha, mara nyingi mvua inaponyesha inakuwa haipitiki kirahisi na hivyo kusababisha kero...
1 Reactions
8 Replies
388 Views
Ukweli ni upi kuhusu utajiri na kutoa sadaka za mali kwa kuwapa mayatima au watu wenye mahitaji maalumu nakumbuka niliwahi Mfata tajiri mmoja wa viwanda hapa nchi nikamuambia jinsi naendesha...
2 Reactions
16 Replies
282 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kup ambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na mamlaka husika za nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia itaendelea kufanya operesheni za pamoja za...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Unaenda zako kwenye wedding, summit, graduation au event yoyote. Umekaa zako mezani sometimes hata hightable kbs ghafla cameraman anakuja...Boss unatabasamu kidogo...Anakupiga picha moja...
1 Reactions
3 Replies
113 Views
Dalili za Kawaida za Ugonjwa wa Akili Ugonjwa wa akili unaweza kujidhihirisha kwa njia tofauti, na dalili zinaweza kutofautiana kulingana na shida maalum. Dalili za kawaida ni pamoja na: Huzuni...
3 Reactions
31 Replies
577 Views
Wasukuma msijifanye hamuelewi
14 Reactions
195 Replies
3K Views
Niwaombe mamlaka ya LATRA waingilie kati maana costa za Moshi Arusha wamejipangia nauli wanavyo taka hii imekuwa ghali kuliko. Naomba Latra wafuatilie hili au wapange nauli halali kama inavyo...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Maendeleo ya Nchi yoyote duniani huletwa na uwekezaji kwenye Hesabu na Sayansi. kwa sababu zisizo eleweka, Nchii hii imewekeza vikubwa kwenye Arts badala ya sayansi; na hii ni kwa takriban miaka...
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka. Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
4 Reactions
7 Replies
129 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…