Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
Mheshimiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni,
Ikiwa taarifa hizi ni za kweli, basi ni jambo linalohitaji uchunguzi wa haraka na hatua za kuwajibisha wahusika.
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa...
👆 Haya ni maneno ya Lissu ambayo nimeyasikia akiwa anahojiwa kwenye documentary ya bbc.
Mwanadamu atabadilisha nguo, wapenzi na misimamo ila hawezi akabadilisha asili yake ndani yake.
Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums.
Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero...
Kwa mtindo wa kila kiongozi kuanzisha chake na kukiuwa cha mwenzake ili yeye kuwa bora ni hatari kwa taifa.
Zile elephant project kama sio magofu sasa naona zinelekea kuwa vyuma chakafu.
Dini ya uislam pamoja na kuwa na mafunzo mazuri ila Bado watu makini hawataki kuwa viongozi wa dini hiyo
Kwanini hao mashehe wasijielimishe ili kupata haiba na kutoa maoni yanayoendana na uelewa...
Habari wakuu.
Leo mida ya mchana hivi nilikuwa om ,nikasema nitoke kiaina nikawacheki wana kijuweni, si unajua wana wa kitaa kuonana mpaka wikiendi,so nikapita ATM 🏧 Nikatoa kama laki 2 hivi...
Wakuu poleni na majukumu. Hapa nilipo najiona muda sio mrefu kuanzia saivi hadi miaka mitano ijayo nitaanza kumiliki fedha zingi yaani vibunda vya kutosha.
Naombeni ushauri gari gani la kuanza...
Ndoto ni kitu cha ajabu sana. Nimeota tunaishi katika dunia mbayo uhalisia haupo tena. Kwamba haya matumizi ya AI sio virtual pekee. Bali uhalisia kabisa. Tutaishi katika dunia ya PROMPTING...
"Ninawasihi Watanzania wote, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua ardhi, hakikisheni mnafika katika ofisi za ardhi kwa ajili ya kuhakiki uhalali wa eneo husika'.
Serikali imejipanga kuhakikisha...
Ile paaap Ccm Chali
Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya
Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia...
Hii wizara ya vijana ni kuchezea pesa na kuwahaada vijana tu kwa maneno sio vitendo.
Maneno ni mengi sana kama alivyo yeye na yeye anauza maneno sio kuyatumia angeweza kutoboa kuliko kukubari na...
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka kuhusu kuwa na digrii nne na kukataa majukumu ya nyumbani kama kupika inaleta hofu kubwa.
Elimu inapaswa kumjenga mwanamke kuwa msaidizi bora na mwenye hekima, na...