Wakuu salama?
Viongozi wamekua wakitoa kauli au majibu ambayo yamekua yakinichanganya sana mfano.
Mh waziri wa mambo ya ndani anasema serikali ikitaka kumkata mtu inatoa arrest warrant...
Hapa sizungumzii wachaga wa Machame, Masama, Hai hadi Siha ambao wengi ni waislam
Nazungumzia wachaga waislam kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Old Moshi, na Uru na maeneo mengine ya nchi ya...
Mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa na watu elfu 95 wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wananchi wakihimizwa kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu hali zao.
Wito huo umetolewa na Katibu...
Mwaka 2013 nilinunuaga kiwanja sehemu panaitwa dege dar. Palikuwa ni pori haswaa yaani hapaeleweki mpaka nikamuuliza aliyeniunganisha sasa nanunuaje shamba na unasema kiwanja😹Nakumbuka nilikuwa...
Tafadhari hi ni mada ya somo la theolojia sio ya la kiimani.
Wanafunzi Wenyewe Walijitenga na Paulo Katika Matendo 21, Paulo anaporudi Yerusalemu, wanafunzi wanamwambia:
“Ndugu, waona jinsi...
"""""Hakuna aliyepata kwenda mbinguni,,, isipokuwa mwana wa mtu ambaye ameshuka kutoka mbinguni""""
YOHANA 3:13 BHN.
Hii ni kauli ya YESU, wakati akiwa duniani. Ila kwenye kitabu cha mwanzo...
Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za...
Wanasema duniani hakuna kitu cha bure. Lakini vipi kama "urahisi" na "usalama" tunaopewa leo ndiyo pingu za kesho?
Hebu piga picha: Unaamka asubuhi, unataka kununua mkate, lakini M-Pesa yako...
Mi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara.
Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na...
Hallelujah hallelujah!
Ombi langu kwa serekali yetu tukufu,sioni umaana wa kubadilisha katiba yote kwa maana ya kuanza upya,je haiwezekani jambo hili likafanywa kwa kugeuza baadhi ya vipengele...
Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu
Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa...
Simu za mkopo zimezuiwa features nyingi mno za muhimu ambapo kibongo bongo ni ngumu mtu kutumia simu bila kuzigusa. Njia kuu wanayotumia wakiona mtu analazimisha kufikia features hizo ni kuzuia...
Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, hubeti, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila...
Wakati nakua huko nyumbani (Arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho Ngoromiko
Wasifu wa ngoromiko
Mrefu sana
Huonekana mara nyingi usiku tuu
Huwasha taa mara Moja na...
Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran.
Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi...
Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona.
Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye...