acha SUMBUA watu umejenga nyumba halafu mlango wa ingia kwako haupo au hauonekani ili hata nyumba yako ikiwa na shida watu waje saidia . tatizo sio mpinzani kwanza acha piga kelele toa taarifa...
Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Uongozi, Paternus Niyegira, akizungumza katika mahojiano na Crown Media mnamo Julai 14, 2026, amesema kuwa hakukuwa na haja Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa tamko...
Mwaka jana mwezi March, kabla ya utaratibu mpya wa kuomba Visa kwenye ubalozi wa China hapo jijini Dar es Salaam.
Nikiwa nimeshajaza fomu zangu na nikiwa nimeshapewa notification ya appointment...
Katika historia ya dini na imani, kumekuwa na madai mengi kuhusu uwepo na kazi ya Roho Mtakatifu. Watu wengi hutumia jina hili kama chombo cha kuhalalisha matendo yao au kuwadanganya wengine...
Pan-African reinsurer ZEP-RE (PTA Reinsurance Company) and development agency FSD Africa have partnered to accelerate the growth of African insurance technology (insurtech) startups through the...
Wakitoka south afrika kufukuza waafrika naona wazungu wataanza na hii operation ya imani.
Kama dini imewapenda sana kwa nini mnakimbilia nchi ambazo sio dini yenu.
SOMA MPAKA MWISHO
Bila shaka mpo salama WanaJF.
Unaweza kuwa ni miongoni mwa wanaomiliki hoteli, guest/lodge. Ninawaletea mfumo wa kuendesha hiyo biashara yako.
Huu mfumo ni SaaS (multi hotel...
Dini ni moja ya taasisi kubwa zaidi katika historia ya binadamu, na mara nyingi imechukuliwa kama biashara yenye mafanikio makubwa.
Dini hutumia imani ya watu kama bidhaa isiyoonekana. Bidhaa...
Maombi ya hati kupitia mfumo wa e-Ardhi kwa wakazi wa Dodoma bado yanaendelea kuwa changamoto kubwa. Mtumiaji anaweza kufanikiwa kutuma maombi kwenye mfumo, lakini maombi hayo hukaa muda mrefu...
Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii.
Tunaonekana...
Wote tunajua ile sio hali ya kawaida kwa watu wengi wa hali ya kati na chini hapa Tanzania. Ni watu wa hache sana wenye uwezo ule wa kuchezea pesa.
Actually, maisha yako tight sana huku kitaa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila, amewakata wamiliki na wafanyabiashara wa Baa kufanyabiashara zao kwa mujibu wa sheria na taratibu za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa...
Dotto magari ni sumu ambayo imeshawaingia wazazi na vijana ambao nao mbeleni kwa hali iliyopo sasa ya ziaka kuwa wasomi hawana mafanikio ni hatari.
Hatari ni kama wasomi wanamaliza ni wengi...
Katika jamii nyingi, miujiza feki inayodaiwa na manabii na mitume imekuwa ikichukua nafasi ya ahadi ambazo zilipaswa kutimizwa na wanasiasa.
Kwa kawaida, mwanasiasa ndiye anayewajibika...
Wakuu habari ya majukumu!
Leo katika harakati zangu nimepata bahati ya kusikiliza nyimbo mbali mbali za enzi hizo maarufu kama zilipendwa.
Kwanza nilianza na kibao cha Amigo chao les...
Msemaji wa serikali baada ya kuona kama kawa kituko kwenye jamii. Kaamua kuruhusu Mwaipopo kuwa badala ya ili wasionekana kuwa wanafikisha maelezo yao.
Ukifatilia kwa umakini matamshi anayoongea...
Microsoft imetoa kozi kamili ya kujifunza Akili Bandia (AI) bila malipo kupitia GitHub, ikiwa ni fursa kubwa kwa wanafunzi, watengenezaji wa programu na mtu yeyote anayependa teknolojia kujifunza...