Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Miaka hiyo habari ilikuwa ngumu sana ukilinganisha na leo uwezi kuzificha. Kipindi cha Sumaye waziri mkuu aliwahi kufuja mabilioni ya pesa kiziara nchi za nje. Nakumbuka alidai sambusa moja...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Dear Haika Ninahisi Ingekuwa kukupenda wewe ni amri ya 11 basi ingempasa Musa kupanda kwenye mlima mwingine kwenda kuichukua hiyo amri. Tabasamu lako ni sawa na asali inayomiminika kutoka kwenye...
11 Reactions
59 Replies
945 Views
Jeshi la Polisi Wilaya ya Rungwe, leo tarehe 20.7.2026 limeshiriki zoezi la Usafi wa Mazingira katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Makandana ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha afya...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Huyu jamaa aliyewapeleka Baba zake (Baba mzazi na Baba Mdogo) akhera a.k.a mbinguni inasemekana alikuwa Afrika Kusini akawa anasukuma harakati zake huko kwa mkabulu. Kama mnavyojua kwa mkabulu...
12 Reactions
99 Replies
2K Views
Kwa kipindi cha hivi karibuni, kuna jambo ambalo limeendelea kunishangaza. Katika nyakati tofauti, nimeshuhudia watoto walio chini ya umri wa miaka 15 wakifanyishwa kazi ya kuzungusha na kuuza...
4 Reactions
16 Replies
411 Views
Hivi mwenye akili unaweza kwenda huko -------------------- Sudan Kusini imetangaza utaratibu mpya wa viza ambazo zinawapa raia wa nchi mbili tu za Afrika, Tanzania na Misri, fursa ya kuingia...
3 Reactions
20 Replies
584 Views
Nimejaza taarifa za magari 2 na yote sijapata hata jirani yangu nae hivyo hivyo. Angalia picha
0 Reactions
2 Replies
122 Views
Habarini wakuu, Niko hapa kuomba ushauri . Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo...
4 Reactions
16 Replies
352 Views
Wakuu nimekuwa nikijiuliza bila hata kupata majibu . Uongo unaweza kuwa ni ugonjwa au moja ya tabia tu mbaya ? Kimsingi kila binadamu ana madhaifu yake anaweza akadanganya ili kuepuka aibu na...
11 Reactions
24 Replies
350 Views
Katika miradi ambayo ingeweza kuishia njiani au kufa na mengine imebaki story. Ni miradi ambayo kanda ya ziwa ambayo jitihada za haraka kama angesubiri ziwe kwa awamu mfano SGR Dar -Dodoma kwanza...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
Serikali ya Sudan Kusini imetoa sera mpya iliyosasishwa kuhusu visa, ikibainisha nchi za Afrika ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila kuhitaji visa au kulipa ada yoyote ya visa...
4 Reactions
8 Replies
214 Views
Influencer Mr Paul brand amewashangaza wengi, baada ya kudai, matajiri wa dar ni waarabu na wahindi, ilihali matajiri wa Kanda ya ziwa ni wasukuma alimanisha black Africans, hongera GSM WA katoro...
13 Reactions
80 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nipeni kiti nikae nifute machozi mkulima mimi! Hivi hawa madalali kwa nini wana nguvu kiasi hiki? Kwa nini wanaruhusiwa kuwepo licha ya unyonyaji wanaotufanyia wakulima? Ni huzuni...
6 Reactions
20 Replies
448 Views
Yn 8:45 SUV [45] Nami, kwa sababu nasema iliyo kweli, hamnisadiki. Yesu alikuwa anasema ukweli, ila kuna watu walikuwa hawamwelewi kabisa, wao walikuwa na mambo yao wanayoyaamini. Utakuwa...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
hivi karibuni matapeli wa kimaraifa wameingia sokol la hisa la dar es salaam , wanakuja na kama ka advert kwenye insta, huwezi ona hiyo account, inakuwa ni advert tu , ukiingia huko umetapeliwa na...
3 Reactions
1 Replies
129 Views
Wanachama mwenzangu ambao mmepigwa ban kwanza poleni sana kwa changamoto hiyo,haiumizi ila inashangaza kiasi…nadhani pia ni muda wenu kutafakari kidogo kuhusu kupigwa kwenu ban. Imagine mwanangu...
4 Reactions
10 Replies
138 Views
Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na...
7 Reactions
13 Replies
293 Views
Nimekuwa JF toka 2016. Nimekutana na mambo mengi. Nimewahi pigika vibaya sana na nikaja pata rafiki ambaye hatukuwahi onana ila tumebaki marafiki. Nimewahi chukiwa na watu na kutukanwa nao na...
8 Reactions
17 Replies
233 Views
usajili jina la biashara ni hatua muhimu kwa mtu anayepanga kuanzisha au kukuza biashara yake. Hizi ni faida zake: 1. Hulinda jina la biashara yako Jina likisajiliwa, linakuwa salama na...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Back
Top Bottom