Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho...
11 Reactions
48 Replies
475 Views
Huyu Dada analetaga mbege kwenye bar moja maarufu jijini Darusalama. Mfanyakazi wake kibinti cha 2008 ndo aliesababisha niwe nanunua mbege hapo. Ghafla nimekuwa addicted na mbege plus...
11 Reactions
78 Replies
777 Views
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli. Nimefuatilia kwa ukaribu...
3 Reactions
40 Replies
811 Views
Salaam wanagenzi na wakuu Kuna baadhi ya watu wanajijua kabisa kuwa wameathirika na ugonjwa fulani wa zinaa, kama Upungufu wa kinga mwilini, kaswende, kisonono nk Lakini kwa makusudi...
5 Reactions
67 Replies
567 Views
Tujitafakari WAAFRIKA kwa kuanza kutafuta ukweli wa ASILI na CHANZO chetu!!!!!! MWAFRIKA AMKA!!
2 Reactions
36 Replies
342 Views
Ciao, Mimi nafikiri Bongo ndo nchi ambayo raia wake bado tuko nyuma sana hata kifikra. kuna zile tabia ambazo unaona kabisa hizi nikiziendekeza sitoboi lakini jamii inazipa promo sana na...
4 Reactions
38 Replies
577 Views
Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
1 Reactions
5 Replies
143 Views
Naona kelele zimekuwa nyingi sana kuhusu hicho Kijiji Cha manamba wa migodini ambapo wanadieiki kusema ni Mji umeipiku Hadi Geita. Hata kama mnasifia acheni mzaha na kuweni na Heshima.
1 Reactions
17 Replies
313 Views
Watu 23 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka moja la kushiriki kwenye mikutano ya kigaidi. Waliopandishwa kizimbani ni Alphaxad Nyamwaga...
3 Reactions
26 Replies
404 Views
Kwa heshima na taadhima, habari zenu wanajukwaa. Please, ukipata muda tembelea hayo maeneo matatu nitakayo orodhesha hapa au pia naweza kukukumbusha humu humu kama utakua huna muda ili...
3 Reactions
14 Replies
274 Views
Uaminifu ni msingi mzuri wa maisha, lakini je, umewahi kujua kwamba uaminifu wako si wa kumpa kila mtu? Usifanye makosa ya kuugawa uaminifu wako ovyo Ukiamini kila mtu bila kuchunguza tabia na...
8 Reactions
56 Replies
617 Views
MAGARI ZAIDI YA 1,500 YASHUSHWA KWA WIKI MOJA BANDARI YA MTWARA,DRC, ZAMBIA NA MALAWI ZANUFAIKA Bandari ya Mtwara imeendelea kujiimarisha kama lango muhimu la biashara katika ukanda wa Afrika...
2 Reactions
4 Replies
81 Views
Ishu sio kulala na Ashawo kichakani huku akiwa na Rand 2000 mfukoni ( Kama laki tatu na ushee ya kibongo) . Ishu ni kupiga chukuchuku ( Kufanya Raw Sex/ Sex bila condom) na Malaya wa DURBAN...
3 Reactions
0 Replies
121 Views
Mke wako au mpenzi wako akikuaga anaenda kukimbia mbio za Marathon utamkubalia aende peke yake au utataka muende wote kukimbia pamoja?
5 Reactions
43 Replies
615 Views
Hii itasaidia utapeli wa kimtandao. Mfano, laini ya simu ya john nafahamu huwa anaiwekea pesa,lakini sifahamuneno la siri ya akaunti yake ya kifedha, nikitaka nifahamu kiasi kilichomo nitatua...
0 Reactions
3 Replies
114 Views
Taharuki kubwa imeibuka nje ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure baada ya familia mbili kuzua sintofahamu kwa kugombania mwili wa marehemu Wambura Mwita Mampya, huku kila upande...
6 Reactions
15 Replies
253 Views
STANFORD PRISON EXPERIMENT: JINSI MAZINGIRA YANAVYOWEZA KUBADILISHA TABIA YA BINADAMU Mnamo mwaka 1971, mwanasaikolojia Philip Zimbardo wa Chuo Kikuu cha Stanford alifanya moja ya majaribio...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua...
1 Reactions
5 Replies
130 Views
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini umeratibu zoezi la kurejeshwa nyumbani kwa raia wa Tanzania waliokuwa nchini humo, kwa kushirikiana na mamlaka za Afrika Kusini kuhakikisha taratibu zote...
2 Reactions
5 Replies
261 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…