Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MAGAMBO MAKONGORO AMEFARIKI DUNIA Kwa wanaomfahamu Magambo Makongoro amefariki leo hospitali ya muhimbili, maziko kesho Kisutu Alasiri. Msiba upo nyumbani kwake Msasani opp na nyumba ya Mzee...
37 Reactions
133 Replies
10K Views
Kwanini vijana wa mjini Wanachelewa kuoa au kuolewa kwa wanawake lakini? Vijana wa vijijini wanawahi kuoa au kuwahi kuolewa kwa wasichana? Ni nadra sana ukute kijana wa miaka 18 au 19 hadi...
8 Reactions
71 Replies
1K Views
Jiandaeni kwa El Niño. Taarifa za hivi karibuni kutoka World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua...
1 Reactions
2 Replies
214 Views
Habari Tanzania !... Leo napenda tuone aibu jamani; aibu hii tatizo la ajira limeishi miaka mingi na wataalamu tunao na wabobezi wapo wamejikalia tu huko vyuoni pasipo kutumika kikamilifu na...
1 Reactions
12 Replies
201 Views
1.Uhai. 2.Kinyeo. 3.Sehemu za jinsia KE au Me. 4.Viungo vya pilau vya mwanadamu. 5 .Haki 6. Basic needs 7.Rasilimali za nchi na mali.
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Katika hizo Crusade Wars, vita vya kueneza Uislam, watu wameanya ufirauni hovyo. Watu wamelawitiana mtindo mmoja. Siyo kwamba upande mmoja ilikuwa una makosa. Wote tu walikuwa wanafanya uhalifu...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Ndugu wadau habari zenu, Na jaribu kutafari kwa jinsi siasa zimeanza kuonesha mwelekeo usiofaa ambapo baadhi ya viongozi wetu wa kisiasa wanatumia dini au viongozi wa dini kupenyeza ajenda zao...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi...
0 Reactions
2 Replies
147 Views
Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF...
3 Reactions
8 Replies
274 Views
Hapa ikulu wanashindwa kuelewa nani ni mvujishaji wa taarifa. Ukiona raisi kakimbilia kwao znz kuna maagizo sasa wanao muunga mkono kila mambo ya serikali yapitie msikitini. Sio kwa ubaya ni...
5 Reactions
3 Replies
210 Views
Umewahi kushuhudia madhara gani yaliyotokana na Taarifa Potofu? Kisa cha Watu waliong’oa minazi wakiogopa kupata mabusha. Mdau wa JamiiCheck kupitia ukurasa wa Instagram anaeleza kuwa kutokana...
4 Reactions
8 Replies
397 Views
Leo nimekaa nikawa najiuliza biashara ya boda boda za mkataba na hesabu huwa zinawalipaje wamiliki wa bodaboda izo na huchukua muda gani kurudisha mtaji na kupata faida Embu wanaujua hii waweke...
4 Reactions
20 Replies
395 Views
Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au...
4 Reactions
6 Replies
627 Views
Dear Tanzanian doctors, dada wa watu kaja, umemtibu, kaondoka. Badala ya kuondoka, wewe unaenda kwenye faili lake, unachukua namba zake, her personal numbers, unazisave alafu unamtext. Mnaisave...
7 Reactions
45 Replies
807 Views
Embu fikiria hivi vitu viwili akili na elimu wamekosa. Wameishia kuwa watu wa ajaabau tokea kuumbwa mwanadamu yani hata wale wanaofanya kama CCM mfano china nchi yao imefika mbali. Sasa hawa...
3 Reactions
5 Replies
112 Views
Dr. Zack Ilemela, Mwanza. Hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa watanzania mbalimbali wakihusishwa na KESI za UGAIDI katika maeneo mbalimbali ya Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
182 Views
Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee". Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine...
12 Reactions
54 Replies
1K Views
Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso, Yesu alimwambia yule mwizi msalabani: “Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.” (Luka 23:43) Lakini pia...
4 Reactions
46 Replies
526 Views
Upo zako mahali, unakunywa pombe Kali na vichanganyo vya baridi, wakati huo nnje huko Kuna jua Kali sana linawaka 🔥🔥 Wakati unakula vimiminika wanapita walimbwende wewe kazi Yako ni kuwapiga...
13 Reactions
74 Replies
1K Views
Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo: Kujipenda Kujithamini Kujipa kipaumbele Kutoifikiria sana kesho Kuachana na yaliyopita Kufurahia yaliyopo Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda
14 Reactions
45 Replies
506 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…