Ninaumia sana kila ninapokumbuka kuwa "nikitolewa kila kitu nilichojifunza na kufundishwa ninayebakia ni Mimi" kauli hii inanifanya nijione kama nimejidhulumu sana katika maisha yangu. Ulishawahi...
Kuna msemo unasema, hakikisha unachagua upande
Usiwe vuguvugu
Kama ni moto, kuwa moto
Kama ni baridi, kuwa baridi
Japo watu wengi husema usijulikane kirahisi, ila tambua kuna hasara ya...
Wanacho jisahau CCM na Jaji mkuu wanahisi mwisho kukutana na maswali ni hapa ndani nchini.
Mahakama zetu na jaji mkuu ili muwe na sifa kesho mfano mumeenda mkutano wa majaji duniani ukaulizwa...
Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake.
Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa.
Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka...
Watu wana rahisisha sana, mjiajiri, ukimcheki yeye bado kagomea ajira kutwa kusotea teuzi, hahahaaaa.
Nioneshe biashara ya professor lipumba, iliyo tetemesha ukanda wa kibiashara ili nikusikilize...
Miongoni mwa mtihani mzito kwa wazee waliopo kwenye vitengo nyeti ni jinsi ya kuwa propaganda vijana wasomi wasio na ajira na hata siasa za kiunyerere kwa zama hizi ni ngumu kukubalika
Katibu mkuu wa Baraza la Mawazi Zambia Bw. Patrick Kangwa ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya Kilimo na Biashara Zambia na kupongeza uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Afya...
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo...
Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda...
Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola,
Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye...
Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa...
Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less
Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z...
Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa...
katika Uislamu uchawi na kuroga (sihr), Qur'ani na Hadithi nyingi za vitabu zinakataza kabisa kujihusisha na masuala ya uchawi, au kwenda kwa waganga kwa ajili ya kuroga, au kutumia nguvu za...
Wilaya ya Mbarali Mbeya kuna changamoto ya umeme yapata Miezi 6 sasa, changamoto inayosumbua ni low voltage (umeme kukosa nguvu) hii inaathiri baadhi ya nyumba lakini kwa wamiliki wa viwanda yaani...
Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja...
Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu...
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi...
Juzi nilikuwa na programu ya kufatilia wafuasi wangu _ Juu ya magonjwa ya pressure
Huyu kijana nilipofika kwa Account yake, Alisema yeye hana pressure " Tulibishana chart ninazo maana kila...