Hebu angalia hizi slide mbili za video zilizotengenezwa na akili mnemba ndani ya dakika chache tu.., fully rendered. Kwa sasa wasanii na maprodyuza wa muziki ndio wanaipata pata.., ila huko...
Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa...
Hii ni barabara ipo Dar Es Salaam
Barabara ya Dege - Mbutu, Kichangani Kata ya Somangila, Mkoa Wa Dar Es Salaam imekuwa kero kwa miaka mingi licha ya baadhi ya Viongozi wa Serikali kuja mara kwa...
Rais Samia Suluhu amesema hatua ya kwanza ya kutatua changamoto ya wakandarasi wazawa ni mabadiliko ya sheria. Akifafanua hatua hiyo, ameeleza kuwa serikali imeamua kuweka utaratibu mpya ambapo...
Hiki kizazi kimeanza kuzikana kwenye hii misiba yao aibu unataona wewe.
Hii hotuba ya kaka wa Marehemu inatafakarisha sana.
Nikwamba Gen-Z na Millennial hawanamiiko ya kutoongelea dhambi za...
Cake ya taifa ni kubwa sana. Mimi naifananisha na nyama ya tembo.
Sasa kuna watu wanaongea utadhani mafisadi wamebeba tembo mzima wameondoka nao nyumbani. Ukweli ni kwamba hata kama kuna...
i kuna jambo linanichekesha sana ila ukilisema utaishia kuonekana una wivu kwa sababu we huna kitu huna hela na hela ni kombe lazima lionyeshwe hahaha
kwenye harusi, sherehe yoyote na...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu...
Habari,
Kiukweli machafuko ya kipindi kile hayakuishia kumaliza watanzania wasio na hatia bali yalienda mbali yaliathiri hadi mahusiano yangu ambayo yalikuwa yamedumu takribani miaka 5.
Ipoje ipo...
Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT
Kampuni yangu ina leseni halali ya...
Mwakilishi wa Chama cha Wakandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (TUCASA) ameeleza changamoto kubwa inayowakabili wakandarasi wa ndani, ambapo licha ya kujaza asilimia 98 ya wanachama wote...
Habari wana Jf,
Naomba msaada kwa mwenye kujua njia nzuri ya kufika shule ya sekondari Kalya iliyopo wilaya ya Uvinza mkoani kigoma.
Mdogo angu amepangiwa kufundisha hapo shuleni sasa hajui...
(Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha...
Ukanda wa comment section, watu wamekua wakiuchukulia poa mi nimeona fursa hivo stay tuned, lengo langu nikuhakikisha kati ya anae post na anaye comment wanakua sawa kutoa Sinto fahamu nk.
Jamani...
Mara nyingi kumekua na maroli kama tiper yanayobeba sulphur kutoka bandarini yanabeba sulphur bila kujali taratibu za kiafya kwa watumiaji wengine wa bara bara unakuta sulphur inaruka kama vumbi...