Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa.
Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
Nimekuwa nikitumia huduma za Stendi ya Nzega Mkoani Tabora kwa muda mrefu kwa sababu shughuli zangu zinanifanya nisafiri mara kwa mara kutoka hapa Nzega kwenda maeneo mbalimbali.
Kuingia ndani ya...
Kero yangu kubwa ni Bajaji na Daladala za Kimara kwenda Matosa wanapandisha na kushusha bei mfano asubuh Bajaj ni Shilingi 1,500 na usiku bei ni hiyohiyo ila mchana ni Shilingi 1,000 hiyo imekuwa...
Vyuo vya kati vya afya havina usimamizi wa kutosha kutoka taasisi husika kama NACTVET na mabaraza ya taaluma ikiwemo TNMC, MCT na Pharmacy Council.
Miongozo ya elimu inaelekeza kuwa wanafunzi wa...
Inadaiwa hapo ni kwa Mwamposa kwenye mkesha usiosahaulika, watu wamenunua udongo kikombe sh. 10,000.
Kwani hii imeandikwa kwenye kitabu gani cha Biblia wakuu?
Ofisi za NIDA hapo Halmashauri ya Wilaya ya Karatu Arusha, wamekataa kabisa kutoa kadi/kitambulisho changu cha NIDA. Nipo Dar nimemtuma Mama yangu mzazi anifuatie ila wamemkatalia katu wanasema...
Katika vitu nilivyo shindwa kuviamini ni zile shuhuda zinazo tolewa, Ukikaa ukasoma between the line zile shuhuda kama kuna za kweli basi ni moja kati ya 1000 zinazo bakia ni za ku frame kuvutia...
Kero yangu kubwa ni magari yenye tlb ya Mbezi - M/Mmoja kupitia Maji Chumbi/Mabibo, ni kwanini hajafiki mwisho wa safari yake kama yalivyopangiwa!
Yaani yakitoka Mbezi yanaishia Karume Kariakoo...
Habari za kazi ndugu zangu.
Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka watanzania wanaopeana zawadi kwa njia ya kutunzana pesa taslimu katika sherehe mbalimbali nchini, waelekeze utaratibu huo kwa njia mifumo ya malipo ya...
Mkurugenzi wa Biashara na Masoko wa Vodacom Tanzania Plc Brigita Shirima (katikati), Mkurugenzi wa Vodacom Business wa kampuni hiyo Nguvu Kamando (kulia), pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa M-Pesa...
Nilikuwa nashangaa kwanini sipati hovyo matatizo ya Moyo, sizeeki na naonekana Kijana na nina furaha kumbe tabia yangu ya kupenda Kulishika Kimahaba Wezere / Inye la Shemeji yenu kabla ya...
Nina hoja ya msingi ambayo wengi tunasikiaga tu msukule ila hatujawahi kuona msukule
Je msukule upo kwelI, kuna watu wanachukuliwa misukule?
Je kama upo mtu akichukuliwa msukule anaweza akarudi...
Hii ni stori nimeiskia ikizungumzwa kinyemela kwenye vijiwe vyetu vya kahawa Kariakoo. Sijui kama ni kweli au ni soga tu za wazee. ila nimeona niilete hapa tujadili.
Habari nzuri na...
Nimesukumwa kuandika simulizi haya kwa uchungu na masikitiko makubwa baada ya kukumbana na mkasa wa kuibiwa vifaa vyangu vya kazi ndani ya treni mpya na ya kisasa ya mwendokasi (SGR), huku...
Siku hizi kutokana na mambo mengi uhitaji wa mikopo umeongezeka kwenye jamii. Hivi sasa pia kuna kampuni zinazokopesha mtandaoni kwa njia ya kijiditali, jambo ambalo ni zuri na linarahisisha...
kesi ya Republic v. Respicius Patrick @ Mutazangira, Criminal Session Case No. 56 of 2018, High Court of Tanzania (Bukoba Registry)
STORY KWA UFUPI
Mshtakiwa, Respicius Patrick @ Mutazangira...