Habari za muda huu,
Wakazi wa Mzinga, Kongowe, Toangoma, Vikindu na Kisemvule ambao ni watumiaji wakubwa wa barabara ya Kilwa (Kilwa Road) tumekuwa tunakumbana na changamoto ya VUMBI ambalo...
Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu msimu mpya wa msafara wa Nyerere Cycling Tour (zamani Twende Butiama) utakaozinduliwa mnamo mwezi wa kumi...
Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa...
Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie...
Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile.
Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako.
Makusudi yako...
Ni binti huyu mtoto wa 2000, nilimweka anisaidie dukani.
Mishahara kwa maduka mengi ni laki hadi laki na nusu, mimi nampa 180k.
Kila siku anachukua 5k,
Nimeweka wifi dukani ya ttcl asiboreke...
Habari wakuu natumai mko poa kabisa ndugu zangu wahishimiwa wanabodi na kadhalika.
Mimi ni yule yule wa siku zote mkazi sugu wa buza kanisani always nimekuwa nikileta kero za usafiri huku kwetu...
Habari za jioni wadau,
Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema.
Nenda kwenye...
Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya
Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya
Bora zaidi...
Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu.
Je ni kweli muliopo hapo mwenge?
Ngoja niwawekee...
Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili
Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama...
Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya...
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu.
Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina.
Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na...
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo...
Nukuu hii imechapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Ubalozi wa Marekani Tanzania.
"Kuhusu misaada ya nje, hatutoi fedha tu; pia tunalenga kupata matokeo.” — Waziri wa Mambo ya Nje Marekani...
Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana)
Binafsi napenda kuwa the center of attention.
Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi...
Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati...