Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifungua Mkutano wa Wadau Kuhusu Udhibiti wa Taka za Plastiki Nchini, kilichofanyika Ukumbi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja...
Mfanyabiashara Mohamed Dewji amezungumzia suala la mchango wa shilingi bilioni 30, huku baadhi ya watu wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo. Wakosoaji wamemkosoa kwa kauli kali, wakidai kuwa...
Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther...
Wadau, kuna taarifa ambazo zimekuwa zikisikika kwamba baadhi ya wateja waliokuwa wanapitisha mizigo yao kupitia Bandari ya Dar es Salaam sasa wanaanza kutumia zaidi Bandari ya Tanga kutokana na...
Wachinjaji wa Manispaa ya Morogoro tunaambiwa mpaka tarehe 17.08.2026
Tunatakiwa kuhamisha shughuli zetu za uchinjai kwenye machinjio mpya iliyojengwa na Manispaa eneo la mawasiliano kata ya...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo wameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano (MoU) wa mradi wa Tanga Regional Energy Hub, unaojumuisha ujenzi wa kiwanda...
Habari kwenu.
Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama.
Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni...
Ndiyo maana ,tuna -;
1. Baba wa Taifa.
2. Rais -amiri jeshi mkuu.
3. Mwenyekiti wa chama.
4. Mifumo kamili ya uendeshaji inayojitegemea (ndani ya nchi)
5.Raia kuwa huru (kujiendesha kibinafsi ili...
Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari.
Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata...
Labda nitoe wazo binafsi, pale wakati wa kufanya maridhiano utakapowadia,basi vyama vyote vipewa barua maalumu za wito wa kushiriki maridhiano, barua hizo zipitishwe katika kila taasisi nyeti za...
Ndugu viongozi na wananchi wenzetu, tunaomba kuwasilisha kero kubwa ya matukio ya wizi yanayoendelea katika eneo la Machinjioni, Kata ya Tangini, Manispaa ya Kibaha.
Katika kipindi cha hivi...
Miaka kadhaa iliyopita nilibahatika kutembelea eneo la viwanda vya ushonaji huko Huanghuagang karibu na Ouzhuang & Dongshankou jimboni Guangdong, nchini China nikajifunza mengi. Ila kikubwa zaidi...
Wakuu.
Samahani, naomba mwenye uzoefu zaidi anaweza kunisaidia ni Router ya kampuni gani naweza kupata kwaajili ya biashara ya WiFi kwenye ofisi yangu ambayo mteja atakua analipia either kwa...
Mimi ni mmiliki wa gari binafsi na mkazi wa Manispaa ya Ubungo. Wiki mbili zilizopita nilifika maeneo ya Manispaa ya Kinondoni kwa gari langu, na tangu siku hiyo nimekuwa nikikuta kwenye mfumo wa...
Ukute bodaboda driver hiyo tukutuku ni yake hana self contrrol ya tamaa za kimwili na uaminifu + ustaarabu kupeeleka atengeneze uteja wa kudumu, aisee wanapiga na ni watu wanaofanya maendeleo...
Mwaka 2011 nilipata kazi na kuajiriwa as mwalimu serikalini hiyo ni baada ya kusota sana kutafta ajira ya fani yangu ya Sheria . Nilikula msoto sana kupata ajira ya sheria , no connection in...
Mara kadhaa nimekusikia unasema ati tuwe macho tusiruhusu watugawe. Ukweli ni kwamba wewe ndio unataka kutugawa na HATUKUTAKI.
1. October 29 ndugu zetu wamefyatuliwa risasi na kuuawa halafu...
Ukute hapo uyo mjuba kashapitishwa kituo na hajaliii wala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea Raha Za DadaDala Wewe[emoji1751]Nibalaaaaa[emoji1751][emoji38][emoji38][emoji38].
Hao...