Kwa upande wangu ilionivutia zaidi kuliko hata hii ya kijana wa kisukuma,msomi,Mtu mashuhuri Isaya yunge kumuoa mtoto wa Ruto,
Ilionivutia zaidi ni ile ya Mwamba wa kimasai kumuoa mtoto wa raisi...
Kile kilichoanza kama nyufa ndogo kwenye lami, sasa kimegeuka kuwa kero ya kila siku kwa watumiaji wa barabara hii. Kila kukicha, mashimo mapya yanaongezeka, lami inazidi kumomonyoka, na kuziacha...
Kuna video inasambaa akimuonyesha kada wa ccm Bakari akiwa na majeraha makubwa mwilini inasemekana alitekwa na wasiojulikana amepigwa sana yaani hadi vidonda
Kisa alimtetea nchimbi 😔
Soma Kada...
BINTI; SIO LAZIMA MAMA MKWE AKUPENDE.
anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wakati nampeleka Mchumba wangu nyumbani kwa mara ya kwanza. Tukiwa Dodoma nilimwona akiwa katika hali ya hofu na wasiwasi...
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka...
Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa majibu kutoka DAWASA kwa barua za maombi ya ushauri na maoni kuhusu miradi inayofanyiwa Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA).
Barua tunazowasilisha katika...
Naona Watu wengi tumejikita zaidi katika Kumtetea na kumuonea Huruma Sheikh Walid huku tukimuona Mzazi mwenzie ana Makosa. Binafsi napenda mno Mawaidha yake Sheikh Walid japo ni Mkristo kutoka...
Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?,
Karibu utuambie
TAARIFA YA KERO YA WIZI ENEO LA MACHINJIONI – KATA YA TANGINI, MANISPAA YA KIBAHA
Ndugu viongozi na wananchi wenzetu, tunaomba kuwasilisha kero kubwa ya matukio ya wizi yanayoendelea katika eneo...
Kwa kawaida Watu au waafrica tunapozungumzia maendeleo tunaongelea vitu kama Ajira,Miladi wawekezaji kutoka nje,mikubwa,Au kugundulika kwa rasilimali kama mafuta,dhahabu au gesi .
Lakini kamwe...
Trilateral Mecca Defence Agreement — rasmi zaidi ikiitwa Mecca Joint Defence Agreement — ni mkataba mpya wa ulinzi wa pande tatu uliosainiwa tarehe 7 Agosti 2026 huko Makkah, Saudi Arabia, kati...
Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮
Note ..endeleeni kushabikia...
Je wanajukwaa dunia hii ipo au ipo kichwani kwangu tu
Ile unatoka asubuhi unaenda mishemishe unarudi jioni home, baada ya kupoa kidogo unaelekea mahali fulani kama kamgahawa unaagiza gahawa, Una...
MAKANISA MAREKANI YANAFUNGWA KWA KUKOSA WAUMINI.
Makanisa saba ya Katoliki katika Jimbo la Crookston hayatakuwa tena na Misa ya Jumapili.
Askofu Andrew Cozzens alisema kuwa huu ni mmoja wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifungua Mkutano wa Wadau Kuhusu Udhibiti wa Taka za Plastiki Nchini, kilichofanyika Ukumbi wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja...