Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu naomba kufahamu itifaki iliyopo wakati wa kusalimiana/ kutoa saluti ya heshima kati ya hawa wakubwa wa kazi wafuatao hasa kwenye mambo haya nitayouliza au kuomba ufafanuzi. 1.Je, IGP...
25 Reactions
472 Replies
139K Views
Nimekutayarishia tafsiri ya Kiswahili sanifu, rahisi kueleweka na yenye mtiririko mzuri: Writing Irene Gakwa alikuwa na umri wa miaka 32. Alizaliwa na kukulia karibu na jiji la Nairobi, Kenya...
8 Reactions
25 Replies
450 Views
  • Redirect
Ukifika Mbeya Mjini kuna eneo linaitwa Forest Mpya. Siku za nyuma eneo hilo lilijulikana tu kama Forest kwa kuwa kulikuwa na msitu mkubwa sana wa miti ya milingoti ambayo Kama huijui ni miti...
3 Reactions
– Replies
– Views
Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja. 1...
0 Reactions
4 Replies
126 Views
Hayo yamesemwa na raise mstaafu wa Kenya alipokuwa akiongea na vijana wa shule ya upili ya Alliance. Kenyatta aliongea mambo mengi ikiwemo madhara ya madawa, kushindwa kufikia malengo saba u ya...
10 Reactions
22 Replies
311 Views
Wakuu, Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla...
1 Reactions
4 Replies
97 Views
Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo...
0 Reactions
4 Replies
70 Views
SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha. Mahakama ilitoa hukumu hiyo siku ya Jumatatu👉...
21 Reactions
41 Replies
1K Views
Eneo la Kabwe ni mfano halisi wa changamoto zinazohitaji maamuzi ya uongozi. Wafanyabiashara wadogo wanahitaji kupangwa katika maeneo yanayofaa ili waendelee kutafuta riziki bila kuziba njia za...
1 Reactions
4 Replies
136 Views
Itoshe tu kusema Jiji la Mbeya ni moja ya miji yenye miundombinu duni kabisa Tanzania hii. Jiji lisilo na mpangilio maalumu, barabara duni, mifereji ya majitaka mibovu na inasababisha kujaa maji...
2 Reactions
23 Replies
459 Views
Kuna mada niliandika usiku wa tanzania kuhusu ,kama kuna mtanganyika alisaidiana na utawala uliopo sasa wote mpo kwenye list ya kufutwa kwa vifo au kupewa kesi za gereza. Hawa washakuwa watawala...
2 Reactions
5 Replies
105 Views
  • Redirect
Hivi biashara unatakiwa uifanye kwanza ndio uijue au uijue kwanza ndio uifanye?
2 Reactions
– Replies
– Views
Wanabodi, Niko hapa jijini Dodoma kwenye maonesho ya 88 kitaifa, uwanja wa Dr. J.S. Malecela, Nzunguni Dodoma, ambapo kuna mambo mazuri sana. Asubuhi niliwaletea...
1 Reactions
5 Replies
85 Views
Wakuu Mbeya Sehemu gani wanauza vitabu vya personal development? Mimi ni mgeni Mbeya Ahsante
2 Reactions
8 Replies
122 Views
Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life)...
1 Reactions
23 Replies
434 Views
Muungano wa Mapogo (mapogo coliation) ulikuwa kundi maarufu la simba dume sita wenye nguvu ambao walitawala eneo la Sabi Sands la Afrika Kusini katika Hifadhi ya Kitaifa ya Kruger kutoka 2006 hadi...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Si salama kufanya uhalifu wa njia ya mitandao ya Kijamii kwasababu Kampuni ya META inashirikiana na Serikali zote duniani kukatama wahalifu wa njia ya mitandao ya kijamii Mara kadhaa Kampuni hii...
7 Reactions
32 Replies
632 Views
Nchini Nigeria, asilimia 77 ya wanawake hutumia bidhaa za kubadilisha rangi ya ngozi (bleaching), jambo linaloifanya kuwa na kiwango cha juu zaidi cha matumizi ya bidhaa hizo barani Afrika. Aidha...
12 Reactions
103 Replies
2K Views
Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya...
5 Reactions
14 Replies
150 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…