NURU YA ROHONI.
Nuru ya rohoni ni Bwana Yesu.
Nakuomba sana niangazishe;
Ukanitazame kwa huruma tu,
/: Ukanitulize
Mimi maskini.:/
Futa dhambi zangu,
Kwa damu yako...
Beach plot for sale
Size sqm 1875 (hati ya wizara)
Location:Gezaulole kigamboni bei Bei:milioni 400
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#vairal_video_tiktok #forsale #creatorsearchinsights...
Physicist mkubwa Eugene Wigner aliandika makala maarufu sana aliita
"The Unreasonable Effectiveness of Mathematics in the Natural Sciences."
Alisema waziwazi na maneno yake ni haya kwa...
Mwaka 1969, Zager and Evans walitoa wimbo uitwao In the Year 2525 ambao uligeuka kuwa hit kubwa duniani.
Melody yake ya kutisha pamoja na lyrics zake za kinabii kuhusu mustakabali wa mwanadamu...
Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira...
Huyu mtoto mdogo ni miongoni mwa watu waliohudhuria leo kesi ya Ugaidi kwenye Mahakama Kuu divisheni ya Uhujumu uchumi .
Ni mtoto wa mmoja wa Washitakiwa wa Ugaidi Mohamed Ling'wenya , ugaidi...
Nawasalimia ndugu na jamaa zangu,
Ama baada ya salamu, naomba kuelekekeza mawazo yetu kwenye mada hii.
Wizara ya Maliasili na Utalii, Pamoja na majukumu yake mapana, ina Taasisi na mashirika ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemjulia hali, Mama Fatma Karume,Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, ambaye...
Wakazi wa Cheka, Manispaa ya Kigamboni, tunatumia Daraja la Amani Gomvu ambalo limekuwa na changamoto kubwa kutokana na ubovu wake. Ukarabati wa daraja na barabara hiyo ulianza mwaka jana, kipindi...
tabia ndogo, mabadiliko makubwa
Beti ya Kwanza
Tabia ndogo huanza kimya, lakini hujenga maisha kwa nguvu,
Nguvu ya kurudia hujenga misuli, na misuli ya akili hujenga uthabiti,
Uthabiti hauzaliwi...
Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha...
Katika kutetea IMANI yake ,Lisu ni muumini wa HAKI ,utawala wa sheria na katiba.
Katika hili amewazidi viongozi wote wa dini.
Kwa tafsiri yangu isiyo rasmi amewazidi UTAKATIFU hao wanaojiita...
Miaka 20s iliyopita, Mlango unafunguliwa mwalimu wa biology anaingia akiwa na mitihani ya kidato cha kwanza. Mwalimu anasalimia darasa na kutangaza matokeo wa kwanza anamtangaza kapata 99% na wa...
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndugu Wazo Mwang’onda, ametembelea na kukagua utekelezaji wa Tanki la Kuhifadhia Maji la Buhongwa, jijini Mwanza, na kueleza kuridhishwa na hatua...
Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka...
Wazee wa zamani wakianza kupiga story utasikia wanasema enzi zetu maisha yalikuwa rahisi au mazuri
Ila ukweli ni kwamba wazee wanaosema hivyo ni wahongo hawana tofauti na motivational speaker wa...
Leo nimekaa nikawaza hivi najiamulia mambo au naamuliwa sababu toka utoto naamuliwa mambo hata wakati nasoma kwenda kukojoa, kula, kucheza tulisubili kengele nilivyomaliza shule nimekuja kujua...
Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam imemhukumu aliyekuwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Gongo la Mboto, Dominic Mushi (34) kunyongwa hadi kufa, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mkewe kwa...
Unapomchafua jina lake kwa lengo la afukuzwe kazi si yeye tu unamdhuru bali
Unadhuru watoto, wazazi, na familia nzima inayotegemea jasho lake.
Kizazi chake chote kitakuchukia
Malenga wa Kiha...
Hivi ni lazima wafanyabiashara wote wakawa wanakimbilia china kufata mizigo yao?
Kwanini wengi hawakimbilii usa au europe kufata bidhaa na kuzileta nchini ilihali jeans saivi ya china dukani...