Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote.
Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na...
Jana Halila Yusuf Tongolanga (1965-2017) amezikwa kijijini kwao Tandahimba.
Hakuna asiyemfahamu huyu mtu kwa kazi zake za kisanii zilizobamba sana sana.. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa hadi...
Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi.
Je video hii ina uhalisia?
Tanzania Kuwa na Kituo cha Anga cha Uchunguzi wa Anga za Mbali
Wakuu kwema,
Teknolojia na uchunguzi wa anga za mbali si suala la mataifa ya Magharibi pekee. Wala si lazima tuanze kwa kujenga...
Kwanini hutaki kutoa taarifa kamili kuhusu ugonjwa wa cancer unaodai unahatarisha maisha yako?
Sawa umeridhia kufa bila battle na mapambano , je umetufikiria sisi kama watoto wako au wadogo zako...
Je mtu anaweza kukutumia pesa ukazipata kwenye simu yako ya mpesa? Mfano akiwa canada na mimi sina account ya benki nataka tu kwenye simu afanyaje nizipate?
π¨ NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI?
Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya.
Nilienda kuomba mkopo benki...
Wakuu,
Mimi mbinu ninayotumia ni nikipigiwa simu na ndugu ile kabla hajaanza kuongea shida yake, naanza kulalamika mimi jinsi maisha yalivyokuwa tight
"Aise Mjomba, umepiga wakati mzuri sana...
Bingwa - YANGA / SIMBA SC.
Timu zitakazo shuka Daraja
1. MBEYA CITY FC
2. FOUNTAIN GATE FC
MSIMAMO KAMILI
1. Simba sc point 80
2. Yanga sc point 80
3. Azam FC point 68
4. Singida black stars...
Wakuu ninalaani kwa dhati mauaji ya aina yoyote ikiwemo hii ya kijana aliyeuwawa huko Ngorongoro. Imeripotiwa alikufa baada ya kipigo na mateso toka kwa askari wa wanyamapori wa Ngorongoro. Hili...
Nimeshaziona familia kadhaa ambazo kulikuwa na watoto wa nje, baba wa kambo wanajitahidi sana kuwapenda lakini wakishaanza kuwa wakubwa wanataka kuwa karibu na baba zao au ndugu wa baba zao halisi...
Unguja. Timu ya Kundemba FC imetawazwa mabingwa wapya wa Mashindano ya PBZ Yamle Yamye kwa kuichapa bao 1-0 timu ya Ubinadam Kazi FC lililofungwa na Abdallah IddI Pina katika mchezo uliopigwa...
Habari za Sabato!
Kwa kweli hali ya hewa ya jiji la Chalamila inashawishi sana.
Nawasiliana na wanasheria wananiambia hapa kuwa leo ukifanya makosa sheria zitaangalia. Sasa sijajua kama ni kweli...
Kuonyesha unapata mafanikio, unajenga manyumba na kununua magari kwa kukata kiuno hapo ndio shida ilipoanzia.
Hii nchi kila mtu atakuja kua mwanaharakati ni suala la mda tuu.
Wakuu, habari za muda huu.
Naleta mada hii mbele yenu nikiwa na taharuki, lakini lengo langu ni kupata uelewa na maarifa kutoka kwenu wataalamu.
Siku chache zilizopita nilipoteza kadi yangu ya...