secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,069
- 42,909
Ama kwa hakika ukitaka mbuzi ahangaike mkate mkia. 😂😂
Walevi waje hapa!
Walevi waje hapa!
Nimegundua kitu. Hakuna mtu anayependa kushikwa sehemu mbaya 😁Tupo bwashee 😅
Itabidi azowee tu!Hahaha kuna kiazi kaona kazidiwa maarifa😁😁
MhhAma kwa hakika ukitaka mbuzi ahangaike mkate mkia. 😂😂
Walevi waje hapa!
Na mimi sikopeshi bwashee 😅Nimegundua kitu. Hakuna mtu anayependa kushikwa sehemu mbaya 😁
Angalia usije ukapigwa mtama.Na mimi sikopeshi bwashee 😅
Sivunji sheria za jamiiforums kabisa😅Angalia usije ukapigwa mtama.
Kumbuka mlokole akipewa rungu inakuwaga soo! 😂Sivunji sheria za jamiiforums kabisa😅
Wa nyuma.Mkia upi