Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Nimekutana na video ya mama mmoja wa Kizungu ambaye ameamua kuongea ukweli mchungu na wa wazi kabisa kuhusu kile kinachowasukuma baadhi ya watu weupe (wazungu) kuwachukia watu weusi. Mama huyu...
5 Reactions
8 Replies
243 Views
Suala la speed limit Tanzania lina miaka mingi na experience yangu speed limit ipo karibu Kila nchi, na hata upana wa Barbara zetu zinazojengwa tanzania bado ukitazama vyema ni kama zimepitwa na...
1 Reactions
3 Replies
62 Views
NARUDIA; VIJANA MAISHA NI POLEPOLE, HUO NDIO MWENDO. USIYASUBIRI. YAFUATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Haba na haba hujaza kibaba. Bandua bandua humanize gogo. Hizo ni hekima za wahenga...
9 Reactions
50 Replies
476 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
ONYO KWA WAFIA DINI ZA MELI: Andiko hili halitawapendeza hata kidogo na linaweza kuwakwaza sana. Kama huna uvumilivu wa kutosha kusikia ukweli unaochungu kuhusu imani mlizozikumbatia kwa upofu, na...
2 Reactions
2 Replies
102 Views
Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na...
4 Reactions
9 Replies
258 Views
Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA...
1 Reactions
2 Replies
47 Views
Naomben mniambie mapema maslahi yao haswa kwa sisi maengineer na architects. Najua mshahara kiduchu ila naulizia mtindo wa perdiem zao.
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela –...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90. Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes...
8 Reactions
21 Replies
303 Views
Habari, mambo vipi mko poa nyie naombeni mnisamehe kwa kuwasubueni. Nimeamua kuwandikia kwa sababu sasa nimekwama kifedha na nina uhitaji wa dharura. Naomba kama utaweza kunikopesha shilingi...
8 Reactions
103 Replies
1K Views
Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la...
0 Reactions
2 Replies
96 Views
Unafungua simu yako asubuhi na kukuta ujumbe wa deni, huku kodi ya nyumba ikikaribia, ada za watoto zinasubiri na gharama za chakula zinaendelea kupanda. Badala ya kuanza siku ukiwa na utulivu...
4 Reactions
5 Replies
99 Views
Mkurugenzi wa mabasi yanayofanya Dar-Arusha, John Tilisho akamatwa kwa kuagiza kukatwa kwa mnyororo kwenye moja ya basi zake Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho...
3 Reactions
7 Replies
252 Views
Dada akielezea ambavyo amekwenda kumtembelea mdogo wake ambaye ilikuwa imepita wiki moja tangu aolewe
0 Reactions
19 Replies
282 Views
Kwa maon yangu mimi naona si Sawa eneo la parking pale kituo cha treni za mwendokasi kuwa za kulipia kwa wananchi wanaokwenda kupeleka au kupokea ndugu zao.SIO LAZIMA KILA HUDUMA WANANCHI...
1 Reactions
0 Replies
37 Views
Kuna utapeli umeibuka kwa njia ya simu. Kuna namba huwa unakuwa nazo kwenye simu, aidha ya rafiki au ndugu, anakupigia simu na kujifanya yupo hospitali kwamba amelazwa Anakwambia ana mjomba wake...
4 Reactions
13 Replies
260 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…