Kwanini baadhi yenu mkisikia “baby baba akikwambia nitumie Control Number ya ada nimlipie mtoto” mnabadilika ghafla kuwa mbogo? 😂😂
Mtu anakuomba tu Control Number ili alipe ada ya mwanae, lakini...
Kuna uzembe na udhaifu na mara kwa mara ninekuwa nachanganya hivi vitu,
Uzembe kuufanya uonekane udhaifu na hivyo nibebwe au ile kuonewa huruma kwamba "ni udhaifu tu"
Lakini kiuhalisia ni uzembe...
Chalamila badala ya kwenda kuhutubia na kujitamba kwa abiria Ubungo, Shekilango na Kigamboni kwamba mshahara wake unamtosha ameenda kuhutubia kwa vibaka, makuli na wapiga debe wa stendi ya Mbezi...
Kwa hali ya kawaida katika maisha ya kila siku jambo moja huanza taratibu na mwishowe huwa ni mazoea.
Kiasili ubongo wa mwanadamu hupenda starehe sana kuliko shida. Yaani mtu anaweza kushikwa...
Honla
Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama
Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28...
Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha!
Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna...
Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu .
Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa...
Vijana wengi tuna ndoto kubwa, lakini tatizo si kukosa uwezo wa kuzitimiza. Tatizo ni kuogopa maoni ya watu.
Unaweza kuwa na wazo zuri, lakini ukianza kulieleza watu wakakucheka.
Unaweza kuanza...
Kosa la Mwanamke Anapopenda Ni Nini?
Kuna mtoa mada juzi kasema kwamba dada yake alikuwa in love na mshikaji fulani na mwisho wa siku yule jamaa akamtapeli ikiwemo kadi yake ya bank, na kumuacha...
Wananchi tunaomba mamlaka husika kutatua huduma katika Hospitali ya Shree Hari iliyopo Mwanza (zamani ikijulikana kama Hindu Mandal Mwanza Branch), kutokana na malalamiko ya utendaji wa huduma na...
Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi,
Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata,
- kukosa muda wa kusoma vitabu.
-...
Elizabeth Koki Musyoki alikuwa mama mwenye umri wa miaka 34, wakili wa Kenya aliyefanya vizuri sana katika kazi yake, mshauri wa masuala ya sheria za kampuni, pamoja na mshauri wa rasilimali watu...
Ukiangalia picha iliyo hapo chini, utaona mstari mwekundu uliokatishwa ukimtenga Tunisia chini kabisa akiwa na alama 0 na idadi ya mabao -10 huko kwenye mashindano ya kombe la Dunia.
Ki-soka...
Kwa ujio wa AI na robots kuchukua kazi nyingi za watu, je mfaidika atakua nani ? Ni muuza robots nafikiri,
Na watu wakikosa kazi, watapata fedha kupitia njia gani ?
Hili ni swali la msingi sana...