Kama serikali inataka inufaike basi hivyo vituo ni vya serikali, kama wananchi wanatakiwa wanufaike basi hivyo vituo ni vya wananchi
Napata shida sana kuelewa dhana ya biashara huria. Kama...
Mara nyingi tunasikia taarifa kuhusu ukuaji wa uchumi, ongezeko la uwekezaji na maendeleo ya miundombinu nchini. Hata hivyo, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kulalamikia gharama za maisha, bei...
Wakuu,
Nimepita huko kwingine nikakutana na hii video ya huyu mdada ambaye ni dereva wa bolt, aneleze nyakati ngumu alizopitia katika mapambano ya kujitafuta kimaisha, lakini kikubwa kutoka kwake...
Watu watatu wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu kwa mahojiano kuhusiana na tuhuma za kumteka mtoto mdogo mwenye umri wa Miaka Mitano na kudai fedha kiasi cha shilingi Milioni tano...
Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika...
Jamani hii ni hujuma ya wazi kwa wamiliki wa mabasi;
Serikali sikivu ni ile inayotatua kero, Lakini Tunashangaa sana badala ya kutatua Zinazidishwa: HAIWEZEKANI
Mtakumbuka Enzi za mkurugenzi...
Kwanza kabisa niwatake radhi kwa kuchelewa kuandika huu uzi ambao ndo pia utatumika kama msimamo wa JF kwenye hili sakata la stendi ya mabasi Dar Es Salaam. Huko PM kumefurika messages nyingi sana...
Wakuu mwenye uzoefu naomba maelekezo kuhusu biashara hii ya mafuta ya alizet.natoa dodoma au singida naenda kuyauza dar es salaam. Je biashara hii imekaaje? Nipeni mwangaza
Mahakama ya Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam imewapandisha kizimbani washitakiwa saba, wakidaiwa kuiba magari mawili wakati yakipelekwa Bandari kavu ya Vingunguti.
Washitakiwa hao ni Isack...
Maskini wakishangilia TAJIRI John Tilisho kupigwa pingu mbele ya kadamnasi kama mwizi wa kuku stend ya mbezi magufuli.
Ndio mana matajiri wengi wanakua na roho mbaya, maana wanajua automatically...
Habari,..swali langu linaendelea kwa kuangalia takwimu za ajira za ivi karibuni (recent placements) za sekretarieti ya ajira.
Kwa majina ya walioitwa kazini hasa uwalimu wa masomo ya...
Nachoka mimi nachoka....
Tuliambiwa pindi ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) utakapokamilika na mitambo ya kufua umeme kuwashwa basi Tanzania itakuwa na uwezo wa kuzalisha kiasi...
Mkisukumo wa maji wa kiroboti ukisaidiwa na AI (Akili Mbandia) unawasaidia wanaume waliovimba tezi dume kurejesha ubora wa maisha yao, huku mgonjwa mmoja akisema matibabu hayo yamempa "maisha ya...
Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni...
Yesu alimaanisha nini kwa kusema waache wafu wazike wafu wao
Tamko hilo lilitolewa na Yesu, kupitia kitabu cha Mathayo 8:21.
Ili kufahamu vizuri habari hii, twende kwenye historia ya...
Salaaam
Wazee mi hili suala bado kizungumkuti, maana kila nikitembea nakutana na sura mpya, nikiangalia taarifa ya habari naona sura mpya, nikiangalia vipindi mbalimbali naona sura mpya...
Hivi doto magari anajielewa kweli?
Yaani unakuwa chawa na kuomba hela kisa kupamba watu na mafanikio yao kweli?
Sasa Maybach sio yako, unasifia wanaume wenzako na bado, unatambia wanaume...
Kucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k.
Pombe
Sex
Punyeto
Sigara
Bangi
Ugoro
Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili...