Habari ndugu zangu, katika pitapita zangu ndugu yenu leo nimekutana na jambo ambalo kibinadamu siyo la kawaida.
Katika mtaa wa Chem Chem maeneo ya Uyole inapatikana familia ya Mzee SIMONI ROMANUS...
Nimepita kwenye majukwaa mbalimbali, nimekutana na comment mbalimbali za watu wakitukanana matusi makubwa makubwa kisa tu wametofautiana/ kupishana kauli kidogo tu, imenichekesha nakunifanya nalia...
Wilaya ya Kisarawe inaendelea kujijenga kuwa kitovu cha uzalishaji wa baruti na vilipuzi nchini, kufuatia kuanzishwa kwa viwanda viwili vinavyolenga kuongeza uzalishaji wa bidhaa hizo ndani ya...
Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na...
Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa
Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato
Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda...
Wakuu salamu,
Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa elimu ya umuhimu wa maji na utunzaji miundombinu ya maji kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira shule ya sekondari Chalinze...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
Tabia ya kila basi kupakia na kushusha abiria sehemu yoyote katika Jiji la Dar es Salam imekuwa kwa kasi ya ajabu. Hivi sasa Mabasi yamezagaa katika kila mtaa yanapakia na kushusha abiria waendao...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam, hususani eneo la Ilala na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekutana na wananchi wa Mtaa wa Tabata, Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, na kutoa ufafanuzi kuhusu hatua zinazochukuliwa...
Je, wajua kuwa Capybara ndio mnyama rafiki kwa wanyama wengi ikiwemo crocodile (mamba), chui na simba?!..
Huyu ni rafiki mkubwa wa Anaconda na Nyegere.
Pia soma...
- Naomba mnieleweshe maana ya...
Baadhi ya wafanya biashara
umeona huduma yake insta hajaweka namba kuwa clickable ili iende moja kwa moja whatsapp unacopy pembeni kisha unatuma sms hajibu chochote.
unahamia whatsapp hajibu...
Kuna changamoto ipo Kituo cha Afya Pugu Kajiungeni Health Centre wagonjwa tunatoka nyumbani na box la delivery pack lakini bado ukiruhusiwa unaenda kulipia risiti imeandikwa delivery pack, so...
Mahakama ya Mwanzo Mbeya mjini imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja (miezi 12) jela Ramadhan Ludabuka (19) DJ na Mkazi wa Patamela Wilayani Chunya kwa kosa la kusambaza maudhui yasiyofaa katika...
Iko hv Jana Niko na fundi wangu ambe ni mtaalmu wa plaster na tiles bas nikamuuliza vip yule kijana ako yuk wapi sas hv anasoma wapi alikuja kupata chuo gani? ndio akanijibu' yule kijana ni...
Imeelezwa kuwa namna ya kufikisha na kufanikisha Utekelezaji wa Dira 2050 ni kuwepo na uundaji wa Kamati za Usimamizi, Ufuatiliaji na Utekelezaji kwenye ngazi zote pamoja na mkakati mawasiliano...
Kuwa na familia ni jambo la maana na la muhimu sana.
Kuona watoto wako /wewe katika version nyingine wakikua na kufurahia maisha aise inaleta faraja sana...huku ukiwahudimia vyema kwanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.