Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jf! Leo hii nami naomba nitoe shuhuda na vimbwanga nilivyo vikuta kwa mganga baada ya kuona hapa wanajamii f. Wanatoa shuhuda zao mbalimbali. Nianze kwa kusema waganga wa kweli wapo...
16 Reactions
72 Replies
10K Views
Habari zenu, Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka. Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli . Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Unapofika Stendi ya Mbezi na kuhitaji huduma ya choo kwenye ghorofa ya kwanza, unatozwa Sh300 bila kupewa risiti. Hata hivyo, ukienda ghorofani kwenye waiting lounge, unatozwa Sh200 na unapewa...
1 Reactions
5 Replies
508 Views
Sijajua ni tafsili ya kitaalam au mazoea ya mtaani ila mala nyingi tunaambiwa mtu aliyekufa amekata ROHO saa flan ila mimi naonaga kama moyo ndio ulio zima muda flan maana mambo ya moyo na akili...
6 Reactions
42 Replies
324 Views
Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa Hata ikiangukia mwishoni. Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne. Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu...
14 Reactions
84 Replies
554 Views
Sakata linalomhusu Mariam Kijumbe limeendelea kuteka mjadala mkubwa mitandaoni, hasa baada ya watu mbalimbali kujitokeza kudai fedha zao walizoweka kwenye kile kinachoelezwa kuwa ni mchezo wa...
4 Reactions
51 Replies
770 Views
Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai! Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai! Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti...
8 Reactions
20 Replies
319 Views
Kokote duniani wanaharaki wamekuwa chanzo kutetea haki za watu na tuwape maua wanawatetea wanyonge lakini wakati mwingine imeleta madhara makubwa sana. Wanaharakati duniani wameleta mabadiriko...
1 Reactions
9 Replies
112 Views
Nje na kushusha garama za umeme na kufanya usikatike itakua ngumu sana kuwaambia wananchi kua bwala lina faida,umeme mwingi na wakutosha (hakutokua na tofauti kama zamani)
5 Reactions
16 Replies
372 Views
Wabongo wengi tunapenda penda lawama sana , kuliko uwajibikaji, kwa mfano mfupi tu angalia hata humu JamiiForums . Kuna nyumbu kazi yao ni kulalamika nyuzi ya jf kwa sasa zimekua za kijinga...
13 Reactions
29 Replies
272 Views
To the POINTI 👉🏼. Hivi wakubwa Ukitumia JIKO la gas lile dogo la kujaza 24000. Na ukatumia jiko la umeme dogo kwa unit za 24000 almost 69 units ka sikosei Ni wapi ni nafuu kwa matumizi ya...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari za wakati huu ndugu, Nina jambo ambalo kiukweli linaumiza roho yangu ninapoona likitendeka ila Sina lakufanya kwasababu wahusika wanakua na silaha za jadi mara zote na wanaonekana kuwa...
6 Reactions
21 Replies
248 Views
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika...
4 Reactions
96 Replies
885 Views
Tukiwa katika mazungumzo na rafiki yangu juu ya umuhimu wa kufanya maombi ya mara kwa mara hata kama hakuna tatizo, kwa sababu shetani yuko kazini kila siku kuwatafuta watu haweze kuwadhuru...
4 Reactions
10 Replies
138 Views
Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia Hii...
9 Reactions
31 Replies
371 Views
Hellow wana Jf. Saizi ukiwa road zikipita gari 15 basi ujue gari 10 mpaka 12 zinaendeshwa na wanawake. Wanaume vipi wazee au tunafanya mazoezi ya kutembea na kuendesha bodaboda, bajaji/daladala...
17 Reactions
195 Replies
2K Views
Kuna watu huwezi kuwasahau kirahisi. Jadda ni mmoja wao. Ukimletea hoja, anakupa hoja; ukijaribu kumuelezea jambo, anakuelewa na kukujibu kwa mantiki. Ni thinker wa kweli. Nimeikosa sana ile namna...
4 Reactions
7 Replies
132 Views
Kuna tofauti kubwa kati ya mganga wa kienyeji na mchawi ila jamii imepotoshwa na sasa haina uwezo wa kuwatofautisha tena na sasa inaishia kuwaweka kaput moja!! 1. Mganga wa kienyeji ni daktari wa...
2 Reactions
7 Replies
432 Views
Kuna mgahawa ulikuwa classic sana. Ile sehemu wanafanya renovation na pamefungwa... Aisee nimejikuta napata hasira, maana msosi ulikuwa classic sana. Sasa nianze tena kutafuta mahala pengine...
4 Reactions
25 Replies
263 Views
Back
Top Bottom