NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu.
Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa...
Kwema-story ya kweli ambayo imenihusu moja Kwa moja na inaniumiza akili mpaka leo 2026 nikimuona jamaa akiwa chizi, cha ajabu akiniona ananifurahia na kutaka tukae tupige story
Moderata-kichwa...
🔊 UNABII WA MWEZI WA 8
Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa...
Katika maisha ya sasa yenye kelele nyingi, teknolojia kila mahali, shughuli zisizoisha, majukumu, watu, uraibu wa vileo na addictions ni rahisi kupotea ndani ya harakati bila kujitambua.
Kila...
Kabla ya tukio la Nchimbi kujiuzulu kutokea , walikuja jamaa wawili hapa kuleta za ndani kua Nini kitatokea, Mto wa mbu na britanicca, lakini hawa watetezi wa serikali walibisha sana, na kwa reply...
Kwa kweli kuna watu hawana ustaarabu kabisa. Unawezaje kuzungumzia maisha ya watu wengine hadharani, bila hata kujali faragha yao, tena ukiwa kwenye usafiri wa umma? Hujui hata kama mmoja wa...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado, amehoji hatua zinazochukuliwa na Serikali kutekeleza ahadi ya ujenzi wa Kituo cha Afya Namiungo wilayani Tunduru, akisema ahadi hiyo ilitolewa na...
26 Agosti 2026
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lembrus Mchome, anadaiwa kukabiliwa na hatua zaidi za kinidhamu ndani ya chama hicho, baada ya viongozi kujadili uwezekano wa...
Kuna maccm team Samia yanapata tabu sana kipindi hiki.
Wengi wanakuja na gia eti Nchimbi asipokelewe na wananchi na pia kama atataka kujiunga na chadema pia asipokelewe.
Binafsi mtu...
Joyce Banda alianza kuolewa na Mr Kachale na kuzaa naye Watoto watatu na alipokuwa Kenya aliolewa na Richard Banda wakati Ndoa ya Kwanza inaendelea na hivyo kuzua utata Kwa Mwanamke Mmoja kuolewa...
Habari wanaJF
leo nikiwa katika daladala za Buza-Kawe kunatukio limetokea nimeona sio sawa ,
kuna dada alikuwa anataka kushuka kwenye kituo anachotaka kushuka sasa alikuwa bado anadai chenji kwa...
Kwa jamii ambazo zimeishi kwa miaka mingi bila kuwa na uhakika wa upatikanaji wa maji safi na salama, kupata kituo cha maji ya kutosha kunaweza kubadilisha kwa kiasi kikubwa maisha ya kila siku...
ni ofisi inayohusika na ukopeshaji wa simu za smartphone..wameniomba wanipe posho kidogo wamsajilie mtu simu ya mkopo vipi mnaojua huwa kuna risk au side effect yoyote kwa namba yangu kutumika?
Je umewahi kumsikia mtu aliyepata ajali mbaya au kusimama moyo hospitalini, madaktari wakamtangaza amefariki, lakini baada ya dakika chache moyo ukaanza tena kudunda na akazinduka? Anapozinduka...
Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna...
Hivi kuna raha hapa duniani zaidi ya kukojoa
Yaani ukute una pisi kali alafu mashine ina kilometer chache au mpya kabisa, alafu uwe unaipiga ile michezo ya mbwa
Naomba kuongezewa maarifa.
Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine
Uchafu huu huachwa hovyo hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.