Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi.
Tunangoja tumalize shule.
Tunangoja tupate ajira.
Tunangoja tupate mchumba.
Tunangoja mchumba abadilike.
Tunangoja ndoa.
Tunangoja...
Tunamsihi Rais au Waziri Mkuu atuambie hatima ya Kwala Dry Port ni ipi.
Juzi tu kulikuwa na mjadala kuhusu mabasi kutokuingia mjini kwa lengo la kupunguza msongamano katikati ya jiji. Cha ajabu...
Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar.
On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana...
Imefanya nchi kuwa maskini toka tupate uhuru kutoka kwa mkoloni.hadi sasa ni umaskin tuh hatuna cha maana ni upuuzi tuh.
Uganda, Kenya ipo mbele yetu...
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu...
Pamoja na Biblia na Quran kuzungumzia habari za wana Israel kuwa utumwani Misri kwa kipindi cha kati ya miaka 200 mpaka 400, hakuna ushahidi wowote wa kihistoria Misri, Israel au bahari ya Shamu...
MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI
Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa...
Gundu ni kiambishi cha kuelezea mambo kwenda mrama mambo kuharibika, mambo kutanzika! Hali ya kuchukiwa na hata kutengwa.
Kinyesi pamoja na kwamba ni samadi nzuri kikishaoza na uvundo kwisha...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Kama kuna mtu aliwahi kufanya jaribio lolote ambalo halihatarishi maisha yako, hakuna sida.
Kama kuna mtu yeyote aliwahi Fanya jaribio la kutaka kukua (kukutoa uhai)...
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana)
Nilichomwambia Rais Samia (23 October 2025) Kabla Ya Uchaguzi Mkuu: CCM ikikaa meza moja ya mazungumzo na CHADEMA, utakuwa ni ushindi mkubwa...
Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo...
Hii nimeikuta mahali, baba anaishi maisha magumu ya kimaskini sana, lakini mtoto wake ni milionea! Baba anamwomba mtoto angalau amthamini tu kama baba, lakini mtoto anamtolea nje! Hampi hata...
Miongoni mwa watu ambao ni adui kwa taifa hili kwa sasa ni baadhi ya viongozi wa dini ya kiislamu.
Mimi ni muislamu pia ila nasikitishwa na tamaa au njaa ya baadhi ya viongozi wa kiislamu kuunga...
Habari wakuu wa JF,
Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
Kuna watu wanaamka asubuhi saa 11 kwenda kazini.
Wengine wanaamka saa 11 pia, lakini hawana mahali pa kwenda.
Mmoja anavaa sare za kazi, mwingine anavaa nguo zake za kawaida na kutoka kutafuta...
Hellow habari, samahani naomba tuonane pale pa siku zote nina ujumbe wako, nisimu ambayo niliwasiliana na binti ambaye kwa kipindi kile nilitamani kuanzisha maisha naye ya pamoja
Miakaa kadhaa...
Habari wakuu wa JF,
Naitwa Mustapha Komba, kijana wa Songea, kwa sasa nipo nyumbani baada ya masomo yangu ya shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe. Kwa sasa sina kazi...
Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto
Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege.
Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati...