Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini hatuhisi kama Dunia inazunguka kasi ya maelfu ya kilomita kwa saa?
2 Reactions
20 Replies
162 Views
Salaam! Ni kweli,hii ni ndoto ya Mwalimu Nyerere iliyobadilishwa kuwa uhalisia na Rais wa awamu ya tano ndugu JPM ambaye alimwachia kiti chake Daktari Samia Suluhu Hassan Ajabu katika Kila...
2 Reactions
20 Replies
385 Views
Anonymous
Wananchi Wilayani Karagwe hususani Kijiji cha Bukabara wanateseka sana na maji jamani, yaani mfano kipindi cha kiangazi kuanzia mwezi May mpaka August kusema ukweli ukiona namna watoto na wanawake...
1 Reactions
2 Replies
42 Views
Habari za muda huu wakuu, Naomba kuwasilisha mada hii kwenu ili kupata uzoefu au taarifa za kina kama kuna mtu yeyote humu ndani alishawahi kufanya kazi na kampuni inayoitwa Fine Modern Homes...
3 Reactions
15 Replies
156 Views
Hapa ni Julius Nyerere Hydro Power Plant, yaani Kilipo Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere MW 2,115 ambapo uzinduzi wa kituo hiki utafanywa rasmi leo Agosti 22, 2026 na Rais wa Jamhuri ya...
1 Reactions
3 Replies
233 Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa leo Juni 10, 2026 akiwa Bungeni amesema "Ushiriki wa Wanaukerewe katika shughuli hizi [Uvuvi] itategemeana na upatikanaji wa mitaji...
2 Reactions
2 Replies
86 Views
Unaweza kuona Mtu yuko bize sana akienda huku na huko Kumbe kapotea. Wakuja msiivanie miji ya watu.
4 Reactions
8 Replies
101 Views
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya ulimwengu huu na vitu vyote tuvionavyo angani na juu ya imani za dini kuwa ipo siku hii dunia itakwisha na watu walikuwa wanatenda maovu watachomwa moto usioisha...
3 Reactions
14 Replies
129 Views
Nimepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika Kasulu Sugar Project, mradi wa kiwanda cha sukari unaojengwa Wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Wanadai kukumbana na...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Dini biashara yenye faida kubwa sana nje ya teknolojia, mafuta na madawa ya kulevya Wanafaika ni viongozi wa dini na kondoo ndo wateja wazuri na wakubwa Zinduka bado hujachelewa Taikuni la...
1 Reactions
1 Replies
29 Views
Wananchi mbalimbali wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kufuatia kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere Hydropower Project, mradi...
1 Reactions
3 Replies
240 Views
Wakuu, Hii video inaonyesha namna vijana hawa ni majasiri, waligomea gari la Serikaei lisibebe mwili wa mwenzao kwani kifo chake kimesababishwa na watumishi wa Serikali Hawa Wanafunzi mwenzao...
6 Reactions
11 Replies
228 Views
Katika purukushani za maisha huku na kule, kuna kipindi nilishawahi kukamatwa na kuwekwa ndani Kesi yangu ilikuwa bado inaendelea, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa naamini kwamba, kwa namna...
7 Reactions
17 Replies
245 Views
Asilimia kubwa ya sisi wazazi tunaojitambua haturuhusu watoto waangalie au wasikilize nyimbo za bongo fleva sababu nyingi hazina maadili. Ila cha kushangaza unaenda kwenye mahafali unakuta mtoto...
14 Reactions
62 Replies
444 Views
As I'm adding one year today, to make it the last year of my 20's kuna mambo ambayo nataka nishee nanyi as to what I learned through.. Huwa sicelebrate na sijawahi. Unazaliwa na kufa tu hapa...
12 Reactions
62 Replies
452 Views
Habari wakuu,mara ya mwisho nilisimulia hapa jinsi ambavyo nilipitia kipindi kigumu kwenye maisha yangu baada ya kupoteza kazi ikafika kipindi nakosa hata shilingi 100 ndani na nina familia ila...
3 Reactions
4 Replies
73 Views
Kuna Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro iliyopo mkoani Mara - Bunda Vijijini kachapwa viboko na Walimu takribani 30 mpaka amefariki Dunia, tukio limetokea SaaSaba Mchana...
3 Reactions
12 Replies
291 Views
Kufungwa rasmi na milele kwa stendi zilizokuwa shekilango, Lumumba na mnazi mmoja imekuwa kicheko kwa matapeli, wezi, vibaka , wabakaji na waganga wa kienyeji waliokuwa wamekosa kazi: MADALALI...
16 Reactions
43 Replies
544 Views
Gen Z wanakwenda kuishangaza na kuistaajabisha serikali iliyoua na kufanya uzalimu kwa namna ambayo haijawahi kutokea. 1. Shule ambazo wanafunzi wake wataingia na kufanya mitihani ya taifa...
8 Reactions
16 Replies
316 Views
Kwa mfano Umeenda Hospital kumuona daktari, akakufanyia vipimo vyote mahususi na baada ya vipimo na majibu ya vipimo daktari anakuja na ushauri kwa kuhusu suala zima la kuzingatia matibabu yako...
1 Reactions
9 Replies
55 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…