Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo. Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia...
2 Reactions
22 Replies
172 Views
Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto Kuna (baadhi) ya watu wazima wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao...
13 Reactions
83 Replies
574 Views
Ili watanzania baada ya miaka miwili wafaidi kitoweo hiki adhimu sana na kinono?... Bila kufanya biashara ya kuwalisha na kupata gharama za ziada, yaani waishi katika misingi ya asili, je...
5 Reactions
74 Replies
1K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za...
3 Reactions
17 Replies
295 Views
  • Redirect
HABARI Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la ugonjwa wa akili amechoma moto kwa jengo la zamani la Mahakama ya Mwanzo Moshi, mkoani Kilimanjaro, na kusababisha vyumba vinane (8), nyaraka za...
0 Reactions
Replies
Views
Ipo hivi 😑😑 Taarifa za awali za habari hazikusema jambo moja muhimu kuhusiana na ajali hiyo: Mmoja wa waliokufa hakuwa mtalii. Jina lake lilikuwa Michele Sensi-Contugi Ycaza. Kwa Wakenya wengi...
6 Reactions
8 Replies
278 Views
Anonymous
Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania. Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya. Wao...
4 Reactions
18 Replies
195 Views
Hawa matapeli wa mitandaoni wanajuaje kuwa namba ya mtu fulani inahela kiasi fulani.Au wezi huwa ni wafanyakazi wa mitandao husika.Kunatapeli lilinitumia sms ya kujifanya limetuma kias fulani...
5 Reactions
16 Replies
207 Views
Kundi Masanja, mtoto wa kwanza wa mzee Masanja (mmiliki wa hoteli za Mw na Christmas Tree), anaelezea jinsi yeye na mdogo wake walivyozuiliwa na mama yao wa kambo kumuona baba yao mgonjwa...
4 Reactions
5 Replies
176 Views
Kampuni moja ya vipimo vya DNA nchini Nigeria inaitwa Smart DNA imetoa takwimu zao za 2025/2026. Wanasema kati ya watu wote waliokwenda kufanya kipimo cha kujua kama mtoto ni wao kweli, asilimia...
0 Reactions
3 Replies
24 Views
Habari wakuu, Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua...
12 Reactions
91 Replies
846 Views
Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu. Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
6 Reactions
13 Replies
161 Views
Yeah .. kauvaa uhusika haswa.ni hayo tu.. kijana apewe support😜😜😄🤣
2 Reactions
2 Replies
84 Views
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili...
7 Reactions
18 Replies
828 Views
Anonymous
Wananchi wa Miembeni, Mtaa wa Msituni, tunakabiliwa na changamoto ya kutopatikana kwa huduma ya ukusanyaji taka katika eneo letu. Hali hii imepelekea baadhi ya wananchi kutupa taka ovyo, ikiwemo...
0 Reactions
1 Replies
31 Views
Wale ambao wamekesha wakilalamika kutokupatikana kwa huduma ya salary advance sasa imerejea Kuna mdau wa jamii forum amenitonya DM baada ya Uzi wangu wakuwaomba wadau kutatua tatizo la salary...
1 Reactions
10 Replies
273 Views
Insonekana mdomo siku hizi unalipa kuliko Elimu ya darasani, Jaku boy aporomosha bungalow jingine la kifahari. Tizama hilo dude la jaku boy https://youtu.be/wLAM96wo7Bc?si=VBBhGihNMUkNwIz_ Kina...
3 Reactions
36 Replies
492 Views
Ata nchi zilizoendelea wanao huu utaratibu wa kusajiri drones, ila zilizo chini ya 250g haziitaji usajili. Ila hapa lazima usajili ata kama ina gram 5. Gharama zake sasa kwa matumizi binafsi...
21 Reactions
55 Replies
867 Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Alfan Mrisho Kikwete ameonekana kwenye mitandao ya kijamii akifanya mazoezi makali ya gym. Mstaafu huyo mwenye miaka 75 lakini anaonekana kama ana miaka...
4 Reactions
6 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…