Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za...
Inasikitisha sana kwa kinachoendelea dhidi ya vijana wanaozamia South Africa kutafuta maisha huku wakiwa hawana elimu wala ujuzi wowote. Wengi wao ni kutoka wilaya ya Temeke hasa kata ya Mbagala...
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amesema kuwa katika kuongeza ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam katika utoaji wa huduma, Wilaya hiyo imeandaa Kata 10 kwa ajili ya matumizi ya Bandari...
Ugumu wa mambo upo kwa kila mtu,
Na kila mtu kwa wakati wake,
Lakini,
Mwitikio kwenye huo ugumu unatofautiana kati ya mtu na mtu,
Na hili ndilo linaamua kujichelewesha au kupita na kushinda...
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza mpango wake wa kuanza kuzalisha na kuunganisha simu janja nchini chini ya chapa inayojulikana kama "Ujuzi Pro". Mkurugenzi Mkuu wa...
Nimefungua Quraan,at random,na aya ya kwanza niliyoiona ni hii:
"Ewe Nabii! Endelea daima kwenye kumcha Mwenyezi Mungu kwa kuyafanya maamrisho Yake,na waumini wakufuate kwa kuwa wao wanahitajia...
Ukiona mwanaume au mwanamke ni kibonge, amejazia minyama uzembe ana kitambi/tumbo kubwa ujue anakula hovyo, hana nidhamu ya chakula na pia ni mzembe na mvivu wa kushughulisha mwili.
Binadamu...
Mbele ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bwana Chalamila, kuna kituo cha mwendokasi na ukivuka barabara kuna barabara inayoelekea Keko, Temeke na n.k. Barabara hiyo pia kuna mkunjo kwenye...
Kwa takribani wiki 2 mfululizo na zaidi, TANESCO Iringa Mjini wanakata umeme laini ya Viwandani na husema ni DHARURA na HITILAFU, kila ifikapo Saa 12 Jioni na kurudisha umeme Saa 3 au 4 Usiku...
Kama una mpango wa kununua gari kupitia yard au gari zilizo nchini tayari kuwa makini sana na haya maneno mawili;
1. AFTER MVUNJOO
2. JUST ARRIVED FRESH FROM JAPAN
Haya maneno mawili yanatumiwa...
Mama Gwajima na BASATA ndio wanahusika na hao wasanii, maadili na jinsia zao wangeshindwa wangewahusisha police moja kwa moja hadi mahakamani.
ila uyo bro katambia apo ameichanganya.
Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana.
Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana
So ...
Kwenu Tanroads na wahusika wengine wa usalama barabarani. Taa za kuongoza magari katika makutano ya Barabara ya Kilwa na Barabara ya Kawawa zimesetiwa kimakosa. Taa hizi zinaruhusu magari yaa...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, nahitaji hiyo kitu maana nategemea kusafiri ndani ya wiki tatu zijazo. Nipo hapa Morogoro. Nawezaje kuipata hiyo card, nimeambiwa ni lazima niwe nayo hiyo...
Muulize mzazi nini unataka kuwaachia watoto wako utakapoondoka hapa duniani. Mara nyingi majibu huwa sio mageni, nyumba, biashara, ardhi, akiba ya pesa n.k
Tunatumia muda mwingi kufikiria...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekemea ukamataji holela wa vyombo vya moto, huku akisisitiza kuwa ni bora zaidi kutoza faini na kumuachia muhusika chombo chake ila aweze kutafuta faini na...
Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.