Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Kupitia kesi ya lisu mimi nimejifunza na kubaini watu wengi wanazurumiwa mali,wanafungwa kwasababu hawajui sheria na naamini nivigumu mtu wa kawaida kushinda kesi zidi ya mpinzani mwenye wakili au...
1 Reactions
12 Replies
207 Views
Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima. Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Kwanza kabisa wasalamu wanajumia hapa Jukwaani, baada ya kamaliza mfungo na Kisha sikuu ya Eid tunarejea kama kawaida. Kwa vijana wa sasa ambao tumezaliwa Mkoani Mara katika wilaya ya Musoma...
4 Reactions
142 Replies
20K Views
Nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salamu nikimaliza kuandika uzi. Sasa...... Huyu piss ni mpangaji mwenzangu, kila jumapili yeye anakuaga mapumziko na haendi kazini. Kilicho nikwaza ni...
18 Reactions
61 Replies
890 Views
Kwa dunia ya sasa, nadhani si mwanaume wala mwanamke asiyeweza kujua ni kitu gani anachohitaji Nadhani kila mtu anajua thamani yake Huwa nashangaa sana ninapoona mtu akitumia nguvu kubwa kumfanya...
22 Reactions
169 Replies
1K Views
Askari polisi kituo cha Nyegezi kushirikiana na mgambo wanakamata wateja wetu katika ofisini zetu za Nyegezi, Buhongwa Mkuyuni, licha ya kulipa mapato yote ya serikali, hii ni halali...
9 Reactions
27 Replies
308 Views
Anonymous
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi. Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu...
3 Reactions
14 Replies
275 Views
Siwatishi ndugu zangu ndio hali halisi ilivyo, Leo majira ya saa tisa nimekutana na msafara wa dkt mwinyi mtoni mess sikujua anaenda wapi kumbe alikua ana pelekea pwani mchangani kufungua hiyo...
2 Reactions
3 Replies
223 Views
Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
0 Reactions
1 Replies
46 Views
Kuna huu wizi ambao unafanywa na Mtandao wa VODCA kuhusu Kupombeka bundle la Internet pindi tu bundle lako linapokuwa limeisha. Wao wanachofanya ni kukuunga kwa lazima hata kama hautaki wao...
1 Reactions
4 Replies
85 Views
Wakuu salaam Nimekuja kwenu tuweze kujadili hili swala. Kwa miaka mingi Dunia imekua ikiendeshwa na Sheria ya supply and demand (Yaani uwingi wa kitu na uhitaji wa kitu). Leo nakuja kwenu...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Napata maono kabisa 2030 hatuta taka kuachia ngaz KITI hiki kitang'ang'aniwa tuendelee kumilik upya,save huu Uzi.
10 Reactions
72 Replies
1K Views
1. PONGEZI. Napenda kukupongeza Kwa kuwa kioo Cha jamii. (Wazee,vijana na watoto pia) 2. USHAURI. Wasihi vijana/watoto wajikite zaidi "kuzingatia masomo" kupitia sm badala ya Yale mambo yako (ya...
2 Reactions
17 Replies
219 Views
Mimi nashauri CCM wenye madaraka watupe katiba alafu kuwe na kifungu cha kuwalinda waliokuwa wameuwa raia, walio tufisadi yani tuanze upya tujdai kama hakukuwa na kitu yan tuanze upya kama taifa...
5 Reactions
14 Replies
109 Views
Magari ya Wagonjwa yawe tayari muda wote. Tulishanunua magari, yawe na mafuta. Kila wakati yawe na mafuta. Tusichangishe wagonjwa kuweka mafuta kwenye gari ya Serikali kubeba mgonjwa ambaye yuko...
1 Reactions
3 Replies
58 Views
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Hakika mwili wa mwanamke unaweza kua wa kuvutia sana January na kufika December ukawa unachukiza kutokana na kunenepa kwa maeneo kadha mimi nilidhani ni tumbo pekee linavuruga muonekano ila...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…