Kamwene,
Huu ni ushauri wa wazi na wa kujenga kuhusu suala la usafi wa barabara za Dar es Salaam, hasa katika maeneo yenye shughuli nyingi za ujenzi, biashara na makazi.
Moja ya changamoto...
Dar el salaam mpya ( New Dar Es Salaam) yote Leo imehamia Kiwalani kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili. Kama hukuwa Kiwalani Leo mida hiyo I have very little to tell you.
U were supposed to...
NB: Nina Akili Ndogo Sana
Baba Levo ni mwanasiasa. Babu Tale ni mwanasiasa. Kasheku Msukuma ni mwanasiasa. Ila Maalim Seif ni mwanasiasa mkomavu, muungwana na mstaarabu kweli kweli yule baba...
Na tafadhali hakikisheni hiyo style mtakayonipa niende nayo kumpa / kutoa Pole kwake basi itamfanya pia anikumbuke GENTAMYCINE katika Teuzi mbalimbali zijazo.
(Hapa nataka kuzungumza na wale wenye mistari fulani inayo unda herufi M katika kiganja chako cha mkono)
👉Mwili wa mwanadamu umebeba na siku zote huwa unabeba alama za kale zilizo chongwa kupitia...
Kuna tatizo kubwa la umeme wilaya ya chunya umeme ni mdogo sana. Hili tatizo limekaa muda sasa zaidi ya miezi miwili.
Mahitaji ya umeme kwenye uendeshaji wa shughuli za kila siku za madini ni...
Nina kero kuhusu eneo la Tandika, maeneo ya Chacha na Rahaleo, maarufu kama Mtaa wa Wahaya Wilaya ya Temeke, Dar. Kuna watu wanaofanya biashara ya ngono katika vyumba vilivyopo katikati ya makazi...
Unaambiwa Ethiopia ndio WAMEINGIA 2019, kama una 30 bongo ukienda Ethiopia unakua na 23 ebwana ehhh huko ndo pakwenda kula pensheni, mi kuanzia sasa ni muethiopia
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye...
Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Mhe. Meja Edward Gowele, amewakumbusha wananchi wa Kijiji cha Nyangoto, Kata za Mangoto na Nyangoto, kuzingatia katazo la Serikali la kutofanya maendeleo mapya katika...
Lissu : Tafadhali shahidi jitambuloshe mbele majaji na mahakama
Samuya : Naitwa Samuya SH
Lissu : Elimu yako ya juu ukipata katika chuo Gani?
Samuya: mie nilisoma sokoine University ( mfano)...
Hiyo video ilisambaa sana mwaka jana wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Ukikutana na wahitaji halisi usisite kuwasaidia, hasa watoto. Maisha ni magumu sana kwa walio wengi. Mshukuru MUNGU kama...
1000Tsh=250MB/180Days
katika akili ya kawaida, unaaweza kukaa na MB 250 kwa siku 180?
Majizi kuwafanya watu mazezeka can not intergrate and differentiate things
1000Tsh=492MB/24Hours...