Makampuni ya simu na usanii kama wa baba yao CCM

Makampuni ya simu na usanii kama wa baba yao CCM

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,093
Reaction score
101,980
1000Tsh=250MB/180Days

katika akili ya kawaida, unaaweza kukaa na MB 250 kwa siku 180?

Majizi kuwafanya watu mazezeka can not intergrate and differentiate things

1000Tsh=492MB/24Hours
2000Tsh=985MB/7Days
1000Tsh=250MB/180Days
1000Tsh=40Min+350MB+10SMS/24Hours
Select Daily or Weekly then Internet or Combo to buy.
 
1000Tsh=250MB/180Days

katika akili ya kawaida, unaaweza kukaa na MB 250 kwa siku 180?

Majizi kuwafanya watu mazezeka can not intergrate and differentiate things
Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
 
Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
Pumbavu wafanya biashara ni very small population users of viwango hivyo. Hivyo ji kwa ajili ya watu wa chini....
 
Sasa huyo na vifurushi vya ving'amuzi nani wezi?

Kwanini unabagua?

Hicho kifurushi ulichotaja ni unamaanisha hizo 250MB ni valid kwa siku 180. Usipozitumia zitafika siku 180 kisha hiyo subscription inaexpire. Ukiamua kutumia 2MB kila siku utafika hizo siku 180.

Ila vifurushi vya ving'amuzi unalipa 160,000 kisha utumie au usitumie mwezi ukikata unatakiwa kulipa 160,000 nyingine.
 
Wewe ndo huna akili, kwa Sisi wafanyabiashara hivyo vifushi vinasaidia Sana mfano kwenye mashine za kutolea risiti. Nikiweka buku natumia miezi mitatu ndo naweka tena.
Sahihi.

Hata device zinazotumia GPS wanahitaji sana hivi vifurushi vya internet vya bei ndogo na vinavyokaa muda mrefu.
(Car tracker etc).

Pia ATM huwa wana simcard zinatumia APN . Kwao matumizi ya internet ni madogo sana.

Alafu kama ww unaona kifurushi hakikufai. Unanunua kikubwa zaid.

Na Line zote zimetengwa kwa class of services kulingana na matumizi ya hiyo line kwa kila mwezi na pia vifurushi vinatofautiana.

Watu wanaotumia Vitochi kwa muda mrefu utashangaa wakiangalia menu wataona wanaweza pata GB 5 kwa elfu 2. Nia ni kuwafanya wavutiwe na wanunue smartphones.

Hivyo, wanaoset hizo plan za packages wana akili timamu.
 
Back
Top Bottom