Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka...
5 Reactions
40 Replies
770 Views
Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali...
11 Reactions
37 Replies
425 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu Dodoma, imemsimamisha kufanya kazi ya uwakili kwa kipindi cha miezi sita Wakili Johnson Kachenje, baada ya kubainika kunukuu katika hoja zake hukumu za...
7 Reactions
33 Replies
659 Views
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine. Lorna ni miongoni mwa wanawake...
3 Reactions
7 Replies
164 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema zaidi ya wadau wa sekta ya afya 3000 kutoka nchi mbalimbali Duniani...
1 Reactions
1 Replies
56 Views
Kuna kipindi kwenye maisha unakaa kimya na kujiuliza, “Hivi kweli nilifikaje hapa nilipo?” Wengine wanaona tabasamu lako na kudhani kila kitu kiko sawa. Hawajui ni vita vingapi umepitia kimya...
16 Reactions
44 Replies
521 Views
Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais...
6 Reactions
61 Replies
804 Views
NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU. Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa. 1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno...
21 Reactions
206 Replies
2K Views
A former Catholic priest in Kenya, Father Sandro Ferretto has officially renounced the priesthood and wed his partner, Sharon Jepngok, in Baringo South. The Italian-born former cleric previously...
4 Reactions
10 Replies
119 Views
Kuna training nimejiunga na wana Discord channel, cha ajabu eti imefungiwa Tanzania Sasa mbona mmezidi wadau? Kwa kweli sijapenda na nimechukia sana
4 Reactions
4 Replies
154 Views
Hivi kati ya kuwa msomi(muajiriwa )na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??
7 Reactions
64 Replies
879 Views
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko...
10 Reactions
33 Replies
477 Views
Habari za muda huu Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
3 Reactions
15 Replies
136 Views
Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na...
50 Reactions
117 Replies
10K Views
Mfanyabiashara raia wa Uingereza na Nigeria, pamoja na influencer wa mitandao ya kijamii ambaye pia ni rafiki wa Davido, Igho Tiny Ubiribo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya...
12 Reactions
130 Replies
2K Views
Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko. Ila tukirudi na uhalisia...
4 Reactions
37 Replies
504 Views
Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana.. Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth.. Ila baada ya ku kujua au...
1 Reactions
5 Replies
124 Views
Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta...
7 Reactions
52 Replies
679 Views
Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza. Yeye akasema amechoka hawezi kuamka. Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe, Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi...
10 Reactions
31 Replies
586 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…