Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Diaspora ambao wamerudishwa nyumbani kutoka South Africa na Mh Rais , tuendelee kuwaunga mkono.
1 Reactions
1 Replies
76 Views
Naweza kuonekana mwendawazimu kwa hii mada lakini wenye kuona mbali wataona mantiki yake! Ni hili la majeneza ya kukodi na makaburi ya kupanga..Maisha yanaenda kasi sana na mabadiliko mengi...
19 Reactions
63 Replies
7K Views
Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu. Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu...
7 Reactions
25 Replies
233 Views
Hii ni habari ngeni kabisa kwa wale watakaobahatika kusoma hii mada na pia wale wenye kupenda kujifunza vitu vipya ni sanaa ya kifo katika uhalisia wetu bila kuchanganya na doctrines za kiimani na...
82 Reactions
476 Replies
87K Views
Azam mmepatwa na nini MWEZI wa tatu huu chaneli ya Kix movies mmeondoa subtitles? Turudishieni tufurahie movies kama zamani
2 Reactions
4 Replies
85 Views
Mpanda – Katavi mkoa huu ni miongoni mwa mikoa mipya, hivyo miundombinu ya kiutawala, biashara, huduma za jamii na uwekezaji bado inaendelea kujengwa. Pamoja na kuwa na fursa kubwa katika...
2 Reactions
6 Replies
201 Views
Akiwa hana akili simuachi Ila natumia nyeti zake mpaka zitepete Mana mtu unamuelekeza haelekezeki sasa naelekeza nyeti zake. *****
3 Reactions
37 Replies
379 Views
Imagine makamu wa Rais anajiudhuru kihuni kihuni tu,kamasio uhuni ni nini?,baada ya kujiudhuru haieleweki yupo wapi, hajakabidhi ofisi,hajaonekana kizimkazi,huyu kimama ataishi kama digidigi na...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata...
6 Reactions
98 Replies
6K Views
https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema.. "Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa...
91 Reactions
486 Replies
21K Views
Aisee pamejaa jamaa zetu kama wote(kuanzia ukaguzi, tiketi na wahudumu) kasoro zile kazi za kutumia akili na Nguvu ndo huwakuti. Eeh Mola tunusuru waja wasitudhuru
14 Reactions
104 Replies
2K Views
Familia ya Shaban Maulid Songela, mwenye umri wa miaka 40 na mkazi wa Mimani City, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, inaendelea kumtafuta baada ya kutoweka na kutopatikana kwa zaidi ya siku 10...
4 Reactions
88 Replies
1K Views
Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu. Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂 Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji...
6 Reactions
22 Replies
527 Views
Anonymous
Habari, Sisi ni wakazi wa Sokoine ndani ya Manispaa ya Songea, Mkoa wa Ruvuma. Tuna kero kubwa ya upatikanaji wa maji. Mara nyingi maji hupatikana mara moja kwa wiki, na kwa nadra sana hupatikana...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amezielekeza Wilaya na Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinafanya kazi ya...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Sehemu hii ya pili pia ni mfano hai, Angalizo Haya maandiko ni sehemu ya kupata Elimu kwa wanao,walio na watakao. Katika sehemu ya kwanza tuliona mfano mmoja lakini takwimu zaonyesha ni maelfu ya...
0 Reactions
5 Replies
169 Views
Kuna mmoja alinoacha nikiwa na miaka 20 (niilimwona pia katika Tv) karudi na hata hajapumzika Wiki akaanza Kuniulizia nami nikamwambia huyo aliyemuuliza amwambie kuwa nami nasubiria Ndege ya Pili...
2 Reactions
5 Replies
383 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kujiandaa kutoa huduma bora za kibingwa na kibobezi wakati wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo imeendesha...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…