Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mapema kabisa hakikisha mke na yeyote aliye ndani ya himaya yako anatii na kufuata sheria ulizoweka. Kusiwe na majadiliano yoyote ili mradi humuonei mtu. Mke, mtoto, ndugu au mgeni aliye ndani ya...
15 Reactions
66 Replies
1K Views
Tukate mzizi wa fitna, isije ikawa ni story za mitaani au mitandaoni ni tofauti na uhalisia Wewe kama muislam ukiwa na wazazi, ukiwa madrasa au utotoni uliwahi kufundishwa kuchukia wakristo ...
3 Reactions
18 Replies
242 Views
Habari JF, Tanzania ina vijana wengi wenye nguvu, elimu na ndoto kubwa za maisha. Lakini changamoto za ajira, gharama za maisha, mitaji midogo na ushindani wa biashara zinaendelea kuwa sehemu ya...
5 Reactions
12 Replies
157 Views
■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
0 Reactions
1 Replies
48 Views
Anonymous
Kwenye vituo vya mabasi na maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu, kama Mbezi, tunaomba Serikali ijenge vyoo vya umma vinavyopatikana kwa urahisi. Vyoo hivyo vitasaidia wasafiri, wanaowasindikiza...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Ilikuwa 2022 tuko kijiweni mida ya saa tano asubuhi, muda huo tume paki Pikipiki tuna piga stori, mara ikaja gali ndogo ya abiria akawa ameshuka jamaa ana begi dogo Mgongoni. Kama ilivyo kawaida...
9 Reactions
12 Replies
317 Views
Kila kitu ni kwa kiasi, nikweli pesa ni muhimu lakini usikutawale kupitiliza, mpaka ukakosa utu Kuna siku nilikuwa na jamaa yangu tulipata kazi sehemu, tumefanya hiyo kazi, ikafikia hatua...
11 Reactions
58 Replies
600 Views
SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Uchambuzi wangu ni huu.. Je kuna nilichosahau? Maisha ya uswazi" ni msemo unaoelezea mtindo wa maisha katika makazi ya watu wa kipato cha chini au maeneo yasiyopangwa vizuri (slums/informal...
6 Reactions
48 Replies
883 Views
Miaka kadhaa mara baada ya kuangaika hapa na pale kutaguta ajira nikafanikiwa kuajiriwa ofisi moja ya umma Kwangu lilikuwa jambo la heri sana kupata kazi, na kwa wazazi wangu walifurahi sana...
9 Reactions
12 Replies
327 Views
1. Wakala wa vipimo (WMA). Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji. Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta...
17 Reactions
21 Replies
1K Views
Binafsi sidhani kama mwanamke wa kiislamu mjane na ambaye inasemekana ni rais akumbatiwe namna hii. Kwa maoni yangu ninavyoona sio sahihi. Jamaa ukumbatiiaji umevuka mipaka.
19 Reactions
105 Replies
2K Views
Joseph Igumba Mwakabana — askari mstaafu. Mwili wake ulipatikana na mazishi yakafanyika baada ya ibada Kinyerezi
1 Reactions
10 Replies
74 Views
Habari za usiku wakuu, samahani Nina shida kule Ali express.Nimeshaagiza mizigo mara kadhaa na ikafika yote.Ila Nina kama mwaka sijaagiza,juzi nikaagiza sasa ninaona Kuna kuna kitu kipya sikuwahi...
0 Reactions
8 Replies
110 Views
Huyu mpumbavu alikuwa anatafuta sana kutrendi kimataifa, kajaribu ujinga ujinga mwingi bila mafanikio. Ila hapa kajipatia alichokuwa anataka kuwa sasa hata Mfalme Chalesi wa Uingereza anajua kuna...
1 Reactions
2 Replies
97 Views
Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja...
-1 Reactions
4 Replies
89 Views
Leo nimeenda zahanati ya serikali bhana. Nikaandikiwa vipimo nilivyotakiwa kupima, nikapewa bili ya Sh16,000. Nikalipia na kwenda maabara. Huwezi kuamini, maabara wamechukua mkojo na damu, lakini...
26 Reactions
26 Replies
634 Views
Binti anayefahamika kwa jina la Irene, mwenye umri wa miaka (24), mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara, Jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujeruhiwa kwa chupa wakati akiwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Kijana MWENZANGU acha kukata tamaa maisha yanawezekana ni kuamua na kusimamia ndoto zako. Nilimaliza form 4 mwaka 2017 ndoto zangu ni kuwa doctor lakini matokeo yalipotoka Aiseee sikuamini...
4 Reactions
10 Replies
227 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…