Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tuko kwenye kipindi kipi? Na je huko mbele Taifa litakuwaje?
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Wewe unaweza kabisa kumkata binadamu mwenzako kichwa, ukiona ng'ombe anachinjwa hofu anayokuwa nayo unamuona anatetemeka kabisa lakini wewe unaendelea kushusha panga, that's why nikachagua kuwa...
7 Reactions
28 Replies
247 Views
Ili kuchangia hoja yenye mashiko kwenye nyuzi fuata hatua hizi: 1. Soma muktadha - Angalia hoja zilizopo na mwelekeo wa mazungumzo. 2. Thibitisha uhalali - Hakikisha hoja yako ni sahihi (tumia...
10 Reactions
36 Replies
314 Views
Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha...
2 Reactions
6 Replies
134 Views
Maisha ni juhudi yako na upambanaji wako hamnaga bahati katika maisha usijidanganye.kula kazi wasela wangu maisha inakutegemea.
5 Reactions
5 Replies
86 Views
Nimeikuta hii makala leo katika gazeti la Daily Nation Kenya. Ni mahojiano mtangazaji wa NTV na MwanasheriaAmbrose Rachier ambaye ni Mwanachama wa siku nyingi wa Freemason. Mahojiano yamenivutia...
11 Reactions
64 Replies
13K Views
Kwenye hii dunia vitu vingi vimeumbwa viwili viwili: binadamu, wanyama, wadudu Hata kwenye tabia zipo nzuri na zipo mbaya Watu wapo wema na wapo wabaya Hapa sina maana ya muonekano wa mtu, I'm...
27 Reactions
241 Replies
3K Views
Asubuhi ukiingia Twitter/X kila Mtanzania aliyepo huko ameposti Tweet ya maombi kushukuru mungu kuamka salama, maombi au sala ya kuomba kwa kwa ajili ya siku mpya, nukuu za maandiko ya Biblia na...
8 Reactions
33 Replies
342 Views
Hapa ni mto Ruaha Wilaya ya Kilolo Kata ya Ruaha Mbuyuni kuelekea Kijiji cha Mayoka wananchi Miaka yote wanalipa shilingi Mia Tano kuvushwa. Mto huo una mamba wengi sana ni hatari kwa watoto...
1 Reactions
4 Replies
142 Views
Moto Mkubwa uliosababishwa na baadhi ya wananchi umeteketeza eneo la Mwekezaji Suba Agro katika Kata ya Kipande, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Nkasi...
0 Reactions
2 Replies
125 Views
Wadau Stationary hizi Epson L 3210 na L 3250 Wengi wanachanganya wanapoenda kununua hudhania inakazi moja la hasha ni tofauti. L3220 InPrint Ina Scanny Ina toa Copy but Wire connectors Colored...
1 Reactions
7 Replies
143 Views
Katika maisha kuna muda unafikia a point of no return.. Ndugu zangu, niwaweke tu wazi ya kuwa am now saying a final farewell to y'all.. JF has been a wonderful place, Sincerely speaking...
19 Reactions
208 Replies
2K Views
Ni vema mkawa na update za hali ilivyo kwenye kituo hiki. Mabasi ya njia ya Mbezi, Madale, Kibaoni kupitia Avenge na mengine ya Bunju yaongezwe. Hii njia unaweza kusema ratio ni 2:100, yaani...
2 Reactions
3 Replies
166 Views
AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande...
10 Reactions
31 Replies
265 Views
Habari za kazi Wakuu, ninaandaa orodha ya njia na vituo vya daladala Dar es Salaam, na ningependa kupata msaada kutoka kwa wanaozifahamu hizi route. Nimekusanya taarifa za njia hizi: Buzastendi...
1 Reactions
8 Replies
309 Views
Habari Mkoa wa Dar es salaam, Wilaya ya Ilala, eneo linaitwa Majohe maduka sita ukiwa Gongo la mboto unapitia njia ya chuo cha Kampala kama unaenda chuorada kuna kituo kinaitwa maduka sita kua...
2 Reactions
5 Replies
119 Views
Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na...
1 Reactions
0 Replies
43 Views
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu. Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu. Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya...
1 Reactions
4 Replies
75 Views
Back
Top Bottom