Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watoto kutoka Mtwara, Singida, Nairobi n.k wakutwa katika mazingira yasiyo rafiki ya malazi huku wakikosa elimu dunia msikitini Kiluvya wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani nchini Tanzania wakipatiwa...
23 Reactions
285 Replies
44K Views
Tunapofanya usanifu wa chanzo cha kuzalisha umeme tunakuwa na malengo, bwawa la JNHPP litakuwa na uwezo wa kuhifadhi maji ujazo wa bilioni 35, maji haya yanaweza kutumika kwa zaidi ya miaka miwili...
3 Reactions
3 Replies
914 Views
Akizungumzia maboresho ya Huduma ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka “Mwendokasi”, Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, leo Julai 15, 2024, amesema kuna changamoto kubwa ya wizi katika huduma hiyo...
7 Reactions
37 Replies
12K Views
Dalili zinaonesha kwamba, watumishi wa Umma walioanza kazi mwaka 2009 mwezi wanapanda daraja, hivyo watakuwa daraja moja na walioanza kazi miaka ya 2003. Hawa wote wana sifa moja. Kama ni kweli...
0 Reactions
4 Replies
477 Views
Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekataa daraja kuitwa jina lake, akisema ni vema liitwe Mama Maria, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni sehemu ya zawadi ya kazi ya kupigania uhuru wa...
1 Reactions
0 Replies
223 Views
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana watatu waliokuwa wanajishughulisha na uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia. Ni...
12 Reactions
169 Replies
11K Views
Wengi tunaamini elimu ni ufunguo wa maisha, ikiwa na maana baada ya kuhitimu nitaajiriwa na maisha yataendelea. Ingawa sehemu kubwa, elimu imekuwa si fumbuzi katika kutatua kero za jamii; na hii...
1 Reactions
12 Replies
747 Views
Niliwahi kuishi UK na nikarudi nikiacha ndugu zangu kule sasa nawaza nawezaje kurudi kuwaona. TARATIBU GANI NIFWATE AU ZIFWATWE ILI NIWEZE PATA VISA NA VITU VINGINE ILI NIWEZE KWENDA KUONDA...
1 Reactions
0 Replies
271 Views
Wakuu nina swali?? LEO KATIKA PITA PITA ZANGU Nimekutana mtandao (Whatsapp status) na dogo mmoja tulikutana ofice moja hapa jijini wakat nasajili campuni yetu.Kwakua yeye alikua very educated...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Nakumbuka kipindi kanisa ni moja tu la katoliki mambo yalikuwa worse sana kiasi ambacho padre alionekana mungu. Kufunga ndoa tu ilikuwa issue sana mpaka utazungushwa weeee mpaka utakata tamaa...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Kwa ambao hamfahamu kuna hii michezo ya wakina dada siku hizi wanamichezo yao ya vyombo .inakuwa design kama mpo watu kumi kila wiki anatoka mmoja ila mnachanga hela lakin kupokea ni vyombo au...
6 Reactions
12 Replies
980 Views
Kila mwaka shule za Serikali huagiza wanafunzi wapya wanaoanza kujiunga na shule hizo kwenda na majembe, makwanja, reki, mafagio nk kama sehemu ya mahitaji ya vifaa vya kukamilisha wanaporipoti...
6 Reactions
17 Replies
784 Views
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amefichua namna wauza nyama buchani wanavyocheza na mizani na kuwaibia wateja wao kwa kuwawekea vipimo visivyo sahihi. Alibainisha mbinu hizo...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hofu imetanda kwa baadhi ya wazazi kuhusu usalama na ustawi wa watoto wao kufuatia matukio ya ukatili yanayowatokea watoto ambapo kwa mujibu ripoti ya polisi kwa mwaka 2023 imeonyesha matukio 30...
1 Reactions
0 Replies
425 Views
Habari Nipo na interest ya kufanya scholarship application zilizopo hapa hapa Tanzania, Je ni mashirika yani ukiachana MO foundation and Samia scholarship , yanatoa scholarship kwa continuing...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni nini kinasababisha Wauza gesi ya Kupikia kutokuwa na Mizani pamoja kuwepo kwa matamko yasiyo tekelezwa mara kwa mara? Gesi tunauziwa ujazo ambao siyo kwa Bei ile ile hili ni tatizo kubwa kwa...
1 Reactions
2 Replies
365 Views
Mh Rais yupo Rukwa wenye updates tunaomba tujuzane kinachoendelea huko
0 Reactions
1 Replies
362 Views
YEREMIAH. 17:5 BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. Hizi dini zinazofundisha kwamba wewe huwezi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom