Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninini hasa tofauti ya hizi jamii mbili wahutu na watusi? Mimi ninavyojua ni haya kama nakosea naomba kuelimishwa! 1. Wahutu ni wafupi watusi ni warefu 2. Kitusi ni lugha na kihutu ni lugha 3...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hapa Tanzania maisha yamekuwa magumu sana. Gharama ya maisha imepanda. Vitu ni ghali sana. Sina hela hata kidogo. Sidhani kama ni kosa la mtu yeyote isipokuwa mimi ambaye ni mvivu. Lakini tokea...
10 Reactions
68 Replies
3K Views
Naombeni msaada wadau nahitaji shirts kadhaa za kuvaa ofisini, ziwe classic na bei iwe rafiki. Pia na tshirts kadhaa pia za Ukweli. Yaaani 7 shirts, 7 tshirts, 7 trousers na 7 Cadets. Huku insta...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Siku hizi Kuna tool ya kivivu na ya bure inaitwa AI, inakurahisishia vitu vingi ikiwemo kizungu. Umezuka mjadala mkubwa sana msanii au socialist mmoja bongo ambaye alikuwa mke wa Msemaji wa club...
3 Reactions
25 Replies
977 Views
Ndugu zangu natumaini mpo salama lengo la thread hii ni kuhamasishana sisi binadamu kuishi kwa upendo na kutokuwa na chuki baina yetu. Hamna mtu ambaye amekamilika kwenye hii dunia ila unakuta...
4 Reactions
20 Replies
683 Views
Ukienda bila kuchaguliwa JKT kwa wahitimu wa kidato cha sita haina tatizo?
0 Reactions
5 Replies
637 Views
Mtu akikufanyia ubaya Mpe muda. Ukiwa huna ajira Jipe Muda. Ukiwa huna amani Jipe muda. Kila kitu kipe muda ina maana kubwa sana. Sasa hivi kila kitu kiko wazi kabisa ni suala la muda tu.
4 Reactions
6 Replies
989 Views
Habarini za leo wakuu, Nisaidieni hili swala na mnipe ushauri nataka kununua mzigo toka China ili uje hapa bongo niufanyie biashara bila kuchelewa kwasababu ni order maalum. Je ni kampuni gani...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Ulimwengu wa dijitali umeleta fursa nyingi kwa vijana, ikiwemo ufikishaji wa elimu, habari, na mawasiliano. Hata hivyo, pia umeleta changamoto zake. Ufikishaji rahisi wa mtandao umeongeza hatari...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Gereji moja hapa nchini baada ya kuchoshwa na kutengeneza magari ya wanajeshi wakaamua kuandika hivi.. HATUTENGENEZI MAGARI YA WANAJESHI. Ila baada ya muda UKUTA ulikutwaa umefutwa maandishi hayo...
4 Reactions
111 Replies
21K Views
Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Ulitamani kuwa daktari, rubani, mbunge, waziri, mwanamziki, mwanahabari nk na ulichotamani unakiishi basi unastahili pongezi kimsingi umefanikiwa probably utakuwa ni mtu mwenye furaha na...
14 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu Kama kichwa cha uzi kinavyojileza hapo juu. Kama mjuavyo wakuu, akiba ni kitu muhimu sana katika maisha,"akiba haiozi". Lengo la huu uzi ni kupeana hamasa ya kuzichanga mdogo mdogo, uzi huu...
8 Reactions
115 Replies
8K Views
Wasalam ndugu zangu wana JamiiForums, ni mara nyingine naleta kwenu mada nyingine. Vitabu vya dini vimekuwa vikituhusia sana tusivunje undugu kwa matatizo au changamoto za hapa na pale...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick...
0 Reactions
5 Replies
761 Views
Share hili na wengine wajifunze kupitia wewe na wasiwe waoga wa kuanza kutafuta maisha. Pia itawasaidia Waliomaliza vyuo vikuu kujifunza na kusubutu kuanza kutafuta Maisha bila kutegemea mzazi...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Siku kadhaa zilizopita tutakumbuka hapa jukwaani lililetwa dokezo na mdau kuhusiana na hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufunga CCTV-camera kwenye vyoo kiume, suala ambalo pia lilichapishwa hadi...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Haya kama mada leta hoka tuone nini ni nini? Je, kipaji kinalipa kuliko elimu ya darasani?
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu Habari zenu? Kwa maisha ya kawaida hapa duniani kukosana kupo kwenye haya maisha. Lakini ni kwa kiasi gani unaweza kubeba maumivu ya kile ulichokosewa na ukaamua Kusamehe. Kisasi kinaweza...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Back
Top Bottom