Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mke wangu alipata ujauzito na akajifungua mtoto wa pili akasema nisimwite jina la mama yake kwani mama yake ni mshika madawa Sana. Nilimwita jina lingine mama mkwe akamwambia aje amzalie mtoto wa...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Imetoa data zinazoonyesha Ukubwa wa Uchumi Kwa Kila mkoa Kwa Tanzania Bara Kwa mwaka 2022. NBS imechapisha kitabu Cha Hali ya Uchumi wa Taifa mwaka yaani Tanzania in...
11 Reactions
229 Replies
36K Views
KENYA - Mahakama ya Rufaa imeagiza mwili wa Silas Igweta uhifadhiwe katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Umash jijini Nairobi kusubiri kesi iliyowasilishwa na mke wa pili wa marehemu, Sarah...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni hakuna taarifa za watu kutekwa wala mauaji wala kubambikiwa kesi. Ikiwa ili eneo lipo ndani ya JMT tunaweza kujifunza ni mbinu gani wametumia kutuliza upepo wa...
1 Reactions
3 Replies
243 Views
Wakati viongozi wa soko la Kurasini, lililopo Mtaa wa Shimo la Udongo, barabara ya GSM jijini hapa, wakieleza wapo hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuuza soko hilo, uongozi wa Halmashauri...
1 Reactions
5 Replies
466 Views
The Fisherman's Fortune: A Tale of Serenity Cove https://youtu.be/NxQy8RmBpgE In a world where fortunes are as fickle as the sea, Marco, a humble fisherman, faced the ultimate choice: risk it all...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa rai kwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)–Hospitali ya Dar Group kutotoza gharama zisizo himilivu kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Kuna wanaume wengine wapumbavu, mwanaume unakimbiaje nyumba kumkimbia mwanamke? Kabisa mwanaume unasimulia watu umemkimbia mwanamke kisa timbwili lake. Kuna mtu alikuwa ananisimulia ameachana na...
20 Reactions
128 Replies
5K Views
Kiuhalisia tu iwe Kazini, kwenye Biashara, Shuleni, Nyumba za kupanga kuna vijimaneno vya hapa na pale. Fulani kasema wewe hivi na vile na wewe bila kumuuliza unaweka chuki. Hali hii imegombanisha...
3 Reactions
2 Replies
273 Views
Ukisikiliza wanavyochambua Magazeti na kuwaponda Watumbuliwa wa hivi karibuni huwezi amini kama Nape alikuwa Boss Wao juzikati tu na walimtukuza sana Ni vema hawa Watangazaji wa Kuigiza wakaweka...
3 Reactions
8 Replies
474 Views
1. Tambua thamani yako: Fikiria juu ya kile unachothamini zaidi maishani na kile kinachokuchochea. Hii inaweza kukusaidia kutambua unachotaka ili ukifuate na ukifikie. 2. Gundua uwezo wako...
5 Reactions
9 Replies
852 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkuu wa Jeshi la Magereza. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Baraza la Mitume na Manabii Tanzania (Bacct) limesema halimtambui Mchungaji, Dominique Dibwe maarufu Nabii Kiboko ya Wachawi na kueleza kuwa si mwanachama wao. Pia limesema walipojaribu kumtafuta...
4 Reactions
11 Replies
978 Views
Una namba 60 badala ya 20 za awali na una mafungu matatu ya namba 20 kila fungu, haieleweki unaziwekaje. Ili kuepuka usumbufu wa kipumbavu kama huu nimeamua kuwasha jenereta, potelea mbali. Sasa...
30 Reactions
129 Replies
9K Views
Habari wakuu, nimekumbuka wema nikiowahi kufanyiwa hatimaye mpaka sasa tumefanyika kuwa ndugu, kuna watu wana mioyo mizuri na wema ndani yake. Ipo hivi 2020 kipindi niko chuo, ilikuwa imefika...
16 Reactions
32 Replies
2K Views
Wakati mwingine ukifikiria maamuzi ya watendaji wa nchi hii yatakushangaza. Kwa mfano: Bunju mwisho stand ya mabasi, walikuja wakasema mabasi yatoke yawe yanapaki barabarani watengeneze barabara...
10 Reactions
11 Replies
631 Views
MAJIBU YA WAUMINI WA MSIKITI WA IJUMAA KWA UPOTOSHAJI WA BIM NA NDUGUYE SHERALY KUHUSU SHULE THAQAFA NA MSIKITI WA IJUMAA Assalam alaykumu. Ndugu waislamu Wa Mwanza na waTanzania Waumini wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yaani moja ya mambo nilikuwa naamini naweza kufanikiwa ni kuwa hard worker. Kumbe kuwa hard worker bila kuwa mtoaji =nothing. Baada ya kuanza kuwa mtoaji nimeona mtiririko wa riziki hausui sui...
46 Reactions
138 Replies
5K Views
Anonymous
Habarini JamiiForums, Nawaailisha kero yangu kwenu iwafikie Hospitali ya Muhimbili, wanachotufanyia tunaokuja kuona wagonjwa si uungwana. Juzi July 10, 2024 nilikwenda kuona mgonjwa nikiwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom