Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna jamaa aliandika uzi wake unaohusiana na migogoro/vita ulimwenguni na kusema kuwa yupo tayari kujibu maswali yote yanayohusiana na vita ulimwenguni. Lahaullah Walakuwata! Wakatokea vijana na...
5 Reactions
20 Replies
638 Views
Hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto. 1.WANYAMA:Kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria...
5 Reactions
15 Replies
59K Views
Nimelinganisha salary slip za watu wawili tofauti, mmoja ana basic salari sh 2100000 analipa Kodi sh 412000, na mwingine basic salary sh 1100000 analipa Kodi sh 101000. Je, Kodi hizi zina uwiano...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu. Kuna mambo Huwa nashindwa kuyaelewa. Watanzania tumekuwa na kasumba za ajabu, Umaskini wa baadhi umetufanya tuwe na roho mbaya, chuki, husda Kwa waliofanikiwa bila hata...
1 Reactions
10 Replies
858 Views
Huyu nadhani kwa dua hii zile bikra 72 ni zake. Haiwezan ma elfu haya yamuombee na asiende mbinguni
0 Reactions
16 Replies
742 Views
Huo Ndio Ukweli' Kwa mara ya kwanza Tanzania tumetoa Rais wa Mabunge ya Dunia mh Dr Tulia Ackson Mwansasu PhD Nabii na Mtume Mwamposa mwenye Huduma kubwa zaidi ya Kiroho nchini Na Sasa Rais wa...
3 Reactions
2 Replies
407 Views
Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya...
0 Reactions
2 Replies
417 Views
Kama umavojua kwamba mama UMUT kaenda msibani na kuwa kwahuyo single mama mwenyewe tutoto tuwili siwezi asijeniwekea vya kuniwekea, Basi nkasema leo niingie mwenyewe jikoni nipike wali na...
9 Reactions
47 Replies
1K Views
Mambo hayaendi maisha magumu usikate tamaa.... Mwenyezi Mungu ana njia tatu za kujibu maombi ya mtu. 1: "Ndio" anakupa unachotaka. 2: "Hapana" anakunyima kile unachotaka, na kukupa kile...
6 Reactions
7 Replies
288 Views
Kuna ile hali umejikalia zako mara unahisi kwenda kutoa haja ndogo. Unafika unamaliza haja lakini unabanwa na bomu la hewa chafu unaliachia bwaaaaa... Kuna wakati mko wengi kwenye choo cha...
10 Reactions
28 Replies
1K Views
Ni kipi kilichobaki kwa ajili yangu, mateso yaliyosalia au dhiki zilizobakia. Ni kipi kilicho tumaini kwangu, kufoji amani moyoni mwangu au kutakatisha furaha nafsini mwangu. Ni vita ipi hii...
3 Reactions
19 Replies
616 Views
by Farley Ledgerwood |June 25, 2024, 2:07 pm Age has no bearing on success. In fact, many people find their stride in their 50s and beyond. How do they do it? Well, it’s not about luck or a...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Isikilize clip ya CDF mstaku hafu Gen. Mabeyo lkihusu ushuhuda wake zile saa za mwisho kabla mpendwa wetu hayati hajalala kuzimu mautini. Gen. Mabeyo kuna vipande kaviongea kwa hisia na maumivu...
49 Reactions
239 Replies
21K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimesali.kanisa la Wasabato mwenge wanahitimisha makambi ya mwaka 2024 Ndugu zangu kwa mara ya kwanza leo mimeshuhudia maombi maalumu yakifanywa kwa ajili ya...
4 Reactions
3 Replies
427 Views
Iko hivi watu wengi wanapeleka matatizo yao kwa Viongozi wa dini, Kata, Polisi, Mahakamani na hatq kwa wazazi. Huku watasuluhishwa kwa upendo na amani na kuamini kuwa Jambo limeisha. Kumbe watu...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Najua tumefanya mengi bila kujua kitu kiundani zaidi. Unakuja kugundua tatizo kumeishakucha, na hujui nini cha kufanya. Nataka nikuambie kitu cha kufanya kipo, ila inahitaji utulivu wa kipekee...
4 Reactions
14 Replies
641 Views
Hili sio ombi.. ni amri. Haiwezekani vijana wadogo umri wa UVCCM na BAVICHA kuota vitambi visivyokuwa na maelezo ya kuridhisha halafu tuendelee kuwachekea. Kama huamini tembelea page za UVCCM...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Sabato ama ka neno lake asili la kiyahudi shabbāth ni neno lenye kumaanisha mapumziko Mwenyezi Mungu kaweka amri ya kuitakasa siku ya Sabato ndani ya zile amri 10, ni jambo kubwa sana kwetu, Ni...
1 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki.. Kasoro alizozitaja kisheria...
3 Reactions
1 Replies
371 Views
Nianze kwa kusema tu hii nchi ina pesa za mchezo. Maendeleo yanacheleweshwa kwa makusudi lakini fedha zipo. Ni Jambo lisilopingika kwamba Serikali inatamani sana kuviweka vyama vya kitaaluma...
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Back
Top Bottom