Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,900
Kuna jamaa aliandika uzi wake unaohusiana na migogoro/vita ulimwenguni na kusema kuwa yupo tayari kujibu maswali yote yanayohusiana na vita ulimwenguni.
Lahaullah Walakuwata! Wakatokea vijana na kumuuliza maswali ambayo sio ya kiungwana, na hayo maswali yalikuwa na mlengo wa kumtoa jamaa kwenye uzi wake au kumkera.
Enyi vijana, kuandika ujinga sio sifa bali ni UJINGA.