Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya. ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Yaani kutoka Dom mpaka nakaribia Dar maTV yenu ni Mama mama mama mamaa!! Kwani hii treni ni ya familia yake?
14 Reactions
17 Replies
727 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali itahahakisha inasimamia Utekelezaji wa ujenzi wa miradi ya barabara na madaraja iliyopo katika Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020-2025...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha...
0 Reactions
1 Replies
480 Views
Hivi inawezekanaje muajiri amekwisha peleka mishango NSSF alafu ukienda kuangalia salio ukakuta kuna michango kadhaa imechomolewa wakati kabla ilikua inasoma. Hii kitu imewatokea wanachama kadhaa...
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Tokea asubuhi hapa Ifakara, waziri Mchengerwa na mama Samia wamekaa meza moja kwa masaa kadhaa, hii sio sawa kimaadili ya kitanzania. Nini kifanyike? Waziri Mchengerwa aachie nafasi zote za...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Kijana anarudi nyumbani kahitimu chuo kwenye taaluma kama ufamasia, uhasibu, uhandisi, IT, sheria, Procurement, n.k. Kama tujuavyo mfumo wetu wa elimu, huwajenga wahitimu wengi kusubiria ajira...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Upendo Tv Kipindi cha Twende Yeriko waliwahi kutoa ushuhuda wa bwana mmoja aliyekuwa anampeleka Mtoto mdogo kwa Mganga Ili amtoe Kafara kwa ajili ya kuongeza mtaji Mama wa Mtoto aliachwa nyumbani...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku. Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli...
16 Reactions
110 Replies
5K Views
Wengine zaidi ya 40 wakimbizwa hospital 20 imasemekana wamefariki dunia. Chanzo ITV.
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Umenisikia na huo ndio ukweli, kuna siku nikipata nafasi nitachambua the current paradigm shift ya focus ya elimu yetu kuanzia kindergarten to Universities madhara yake tunayayaona leo na...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Kampuni hii ilitangazwa kwa mbwembwe nyingi sana bungeni na kwenye media wa kwanza kuisfia kampuni hii alikuwa Musukuma, wakafuata Maulid Kitenge na wenzake pamoja na Prof. Makame Mbarawa Sasa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Leo August 3 2024 ni siku ya makomwe dunia as wazungu wanaita big forehead day. Mtagi mwana JF mwenye komwe
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao...
0 Reactions
4 Replies
423 Views
Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma...
1 Reactions
6 Replies
888 Views
Hili limekuwa ni tatizo sugu kwa kuwa watu hawataki kuwa mashahidi wa kitu walichokishuhudia. Shahidi ndiye anayesababisha kesi iweze kumalizika kwa haraka. Lakini watu wanaogopa. Lakini baada...
1 Reactions
26 Replies
976 Views
Nyie Azam TV shida yenu ni nini? mbona Channel zote za sports hazioneshi? Toka tarehe 01 August mlivyosema kuwa mnaboresha muonekano na kuongeza channel sports4 hamuonekani hadi leo hii.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, najua habar hii sio mahali pake hapa, kwakuwa wadau wengi hupita hapa basi mod acha itambe hapa, Pili Yahya Mohamed ni mdau mkuu hapa na wengi wanamkubar sina budi kusema...
2 Reactions
95 Replies
23K Views
Back
Top Bottom