Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello members good morning everyone Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here Man it hurt my feelings that no one will notice when I...
6 Reactions
59 Replies
3K Views
Hivi ndivyo TANESCO wanavyotoa ajira kwa Upendeleo na kujiana. Hili ni shirika la Umma lakini linatoa mianya ya Upendeleo wakayi wa recruitment. Jambo hili husabisha vijana wenye sifa kukosa kazi...
0 Reactions
4 Replies
873 Views
Anonymous
UTANGULIZI Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi. HISTORIA YA ENEO Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo...
2 Reactions
1 Replies
772 Views
guest-1787677467
Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto. Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako" Katika kitu ambacho viumbe...
0 Reactions
1 Replies
487 Views
Na kingine GENTAMYCINE najijua nina Nyota Kali hivyo Michawi inanisaka kwa Udi na Uvumba na ndiyo maana huwa sitoi hovyo Mkono wangu. Kama tu Viganja vyangu vyote vina ALAMA ya BAHATI, ULINZI na...
3 Reactions
4 Replies
753 Views
Kama ni mteja wa NMB kwasasa utaona deni la tsh 3999 limewekwa kwa ajili ya Mastercard sijui nini nini huko.. Haiwezakn ukatwe makato ya kila mwezi, Makato ya kutoa pesa, Gharama za uendeshaji...
14 Reactions
38 Replies
4K Views
Leo ni siku ya taa za barabarani ambayo taa ya barabarani ya kwanza iliwekwa tarehe 5 August 1914 huko cleveland ohio USA, system ilitengenezwa na bwana Lester Wire na leo ndo inatimiza mia tangu...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Nimetafakari kwa muda na kupitia baadhi ya kanuni na taratibu za kusajili taasisi za Kidini. Sheria ipo wazi Kanisa linasajiliwa si na mtu mmoja bali ni Watu wasiopungu 12 kwa ngazi za Kiongozi...
0 Reactions
18 Replies
898 Views
Ni kijana wa miaka 17 Axel Muganwa Rudakubana aliyezaliwa Uingereza na wazazi wa kinyarwanda wakimbizi. Kijana huyo aliyesababisha vifo vya watoto wakike watatu na kuacha wengine 10 wakipigania...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Wapendwa, Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo...
17 Reactions
82 Replies
5K Views
Mahakama Kuu nchini India imetengua Sheria ya ubakaji ndani ya ndoa (marital rape act) ambayo mke katika ndoa aliweza kumshitaki mumewe mahakamani kwa kosa la ubakaji (kumuingilia bila na ridhaa...
0 Reactions
10 Replies
963 Views
Bwana Yesu asifiwe kwa wajuzi na wasomi wa Mambo ya Rohoni kama kichwa cha habari kinavyo uliza. Je kosa la simoni mkirene (Simone of cyrene) ni lipi haswa au alibeba msalaba ule kwa kupenda tu...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini?? Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili. Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!! Niishi nae...
19 Reactions
293 Replies
8K Views
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia. Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Tume ya Madini, leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma Elimu imetolewa katika...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na...
4 Reactions
76 Replies
3K Views
Jeshi la polisi Jukumu lenu ni Usalama wa Raia na Mali zao . Na msiwe na bias kwenye hili Msibagua watuu maana nyinyi ni wazazi bila kujali itikadi ,dini ,kabila ,ranging na vyote hivyo Lkn...
0 Reactions
3 Replies
454 Views
Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom