frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Habari wakuu,
najua habar hii sio mahali pake hapa, kwakuwa wadau wengi hupita hapa basi mod acha itambe hapa,
Pili Yahya Mohamed ni mdau mkuu hapa na wengi wanamkubar sina budi kusema hongera kwa kuwa boss mpya na wakwanza azamtv.... Mchukue na Tom chilala michezo itanoga.