Breking news :wafa kwa kukanyagana wakigombea kukanyaga mafuta ya upako.

beco

JF-Expert Member
May 7, 2013
1,347
2,000
Unakufa kwa sababu ya yule mwamposa ni upuuuzi ,yaani ka mwamposa bila nife napigania nchi yangu kuliko kale kashirikina
Nisinukuliwe vibaya hata waislamu wakienda kuhiji wanakufa kwa msongamano wahindi wa india wakienda ganges river kufanya ibada zao wanakufa.....it happens ila chochote kikizidi tu ni balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
3,549
2,000
Kitu nilichojifunza na kutafakari hivi karibuni, hakuna kitu chenye thamani kama damu ya Yesu, sasa hayo mafuta ya upako sijui na vitu gani sijayaelewa vizuri, wenye ufahamu tunaomba mtufafanulie....
 

KANYEGELO

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
859
1,000
Acha wafe ...tamaa zimewazidi hasa wamam
Vipofu wa kiroho wanatangishwa na kila aina ya upepo ....
Ila ole ole ole , mwenye kudhurumu na azidi kudhurumu na mjinga azidi kuibiwa na wavivu wa kuomba waendelee kutafuta mafuta wakakanyage na wao wakanyagwe ....utajiri na mafanikio vipo kwenye neno la Mungu aliye hai lisilo goshiwa

sent from toyota Allex
 

hmkuwe

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
297
250
huwa nashindwa kuelewa inakuwaje mtu unapoteza uhai wako kisa mafuta? ambayo yanapatikana dukani tena kwa 1000 tu.wakristo bhana
 

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
6,139
2,000
Nimesoma sehemu jamaa yupo Kawe anapiga neno kama kawa...
Ni kawaida ya hao watu, waza kule Nigeria kwa yule jamaa gorofa lilipoporomoka nk, yaani wanapanga na kutekeleza wakiwa wameshika makali yasiwadhuru.

Kibaya makanisa mengine hayaonyi hiyo kadhia, maana hao waliokufa watazikwa na mapadri, wachungaji na masheikh wao.

Baada ya mauaji ya Kilimanjaro uliza nyomi la leo huko Kawe utashangaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom