Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo Mjanja M1 nimetafakari sana juu ya hili suala, Kumekuwa na watu wanarekebisha mpangilio wa meno yao kwa surgery hawalalamikiwi, lakini wanaobadilisha Maumbile eg. Wanawake Wowowo wanasakamwa...
2 Reactions
48 Replies
1K Views
Watanzania sisi washamba hilo nimeligundua nilivyopanda usafiri wa Treni ya SGR. Tulivyoruhusiwa kutoka ndani station kwenda kupanda mabehewa ya treni kila mtu alitoa simu akaanza kujipiga ma...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
KIBOKO YA WACHAWI KUNA UJUMBE WAKO KUTOKA KWA MASHEMEJI ZAKO. Anaandika Samwel Lwiza "Shemeji Tumelisikia ombi lako lakini kwa sasa tunaomba utuvumilie kwasababu sisi kama mashemeji zako...
2 Reactions
2 Replies
535 Views
Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, changamoto kubwa iliyopelekea kuchelewa kukamilika kwa mradi wa...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Mtanzania mmoja aliyeolewa huko kaskazini mwa nchi ya Ireland amerikodi videonakieleza jinsi mumewe mzungu na polisi nchini humo wanavopanga kumuua. Katika video hiyo ameeleza jinsi anavopitia...
5 Reactions
10 Replies
791 Views
Familia ya Said Salim Bakhresa Said Salimu Awadh Bakhresa ni mfanyabiashara mwenye mafanikio na uzoefu wa zaidi ya miaka 30 wa kusimamia kundi la kampuni za biashara. Yeye ni mwasisi na...
57 Reactions
307 Replies
77K Views
Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Wakulima,Wafugaji pamoja na Wavuvi kutumia Pembejeo zenye wakati alipotembelea Mabanda mbalimbali kwenye...
1 Reactions
0 Replies
354 Views
Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna hizi MITA tukiweka luku ya 10,000 tunapata units 28 badala ya 56, Hivi mlitumia vigezo gani kutuumiza hivi? Bora mtupatie mita mpya Ili tununue umeme wa kutosha na wateja waongezeke...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
/
0 Reactions
7 Replies
783 Views
Kuna watu Chenga unakuta Dume zima linaandika kwenye group za whatsap / whatsap status it's my birthday please wish me WTF
6 Reactions
33 Replies
947 Views
Virusi ni programu ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuharibu programu nyingine zinazokuwepo kwenye mfumo wa utendaji wa kompyuta au simu. Virusi vya kompyuta vinaweza kufuta, au kuharibu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika Quran, hukumu ya wazinifu (wale wanaofanya uzinzi) imeelezwa katika sehemu kadhaa. Aya inayozungumzia moja kwa moja adhabu ya wazinifu ni katika Surah An-Nur (24:2): "Mzinifu mwanamume na...
0 Reactions
10 Replies
658 Views
Anonymous
Taasisi za Umma kama NACTVET Wamekuwa na tabia ya kupandisha bei za huduma bila sababu na hawatoi taarifa hivi karibuni. NACTE wamepandisha huduma ya ACADEMIC TRANSCRIPT kutoka elfu 15 kwa...
1 Reactions
1 Replies
617 Views
Ujue mtu ukiendekeza sana maisha ya kazi unaweza ukachizika japo ndo maisha yanayotuweka mjini hapa. Kwa jinsi nilvyochoka na haya maisha jana nilihisi hiki kichwa kama sio changu nilihisi kama...
3 Reactions
6 Replies
475 Views
Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria! Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu. Mfano 1.! Kuna umhimu...
3 Reactions
14 Replies
908 Views
Huwa najiuliza mara nyingi sana kwa nini chips zinasemekana kuwa na madhara. Chips ni viazi ulaya vilivyokaangwa kwenye mafuta ya kupika. Lakini ukipika viazi hivyo kwenye mboga au chakula...
18 Reactions
108 Replies
4K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika...
12 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari wakuu, Kwa wanafanya malipo ya serikali watakubaliana nami kuwa, mfumo wa kulipia na kuhakiki malipo wa serikali " government e payment gateway" (GEPG), haufanyi kazi vizuri kwa takriban...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom