Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo...
Leo nikiwa nasikiliza kipindi cha michezo katika redio ya East Africa, kuna jamaa akatuma ujumbe kuhusiana na mechi ya simba na yanga huku akiandika ujumbe ambao ulisomwa na ndugu mtangazaji...
Wakuu habar..!
Kwa umri wangu ninastahili kuitwa mzee, maana Nina zaidi ya miongo mitano tangu kuzaliwa kwangu,
Kila ninapokaa huwa nnaikumbuka sana nguo yangu niliyowah kuivaa miongo kadhaa...
Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake.
Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile...
Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni...
Kupitia ukurasa wao wa X, Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kuhusu binti aliyefanyiwa ukatili Yombo kuwa amekufa, na kusema taarifa hiyo ni uzushi usiokuwa na...
Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake.
Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38
Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi...
Leo nimekaa sehemu nikaona kundi la wachina, nikajiuliza hivi hawa jamaa huwa hawaoti ndevu au wananyoa kilasiku.
Ni utaratibu wao wa kiasili kukaa bila ndevu au hawapendi tu, maana binafsi...
Step into the thrilling world of "The Money Maze," where everyday people face their financial fears head-on. Watch as contestants navigate a larger-than-life labyrinth filled with challenges that...
Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali...
Habari ya leo wadau.
Salamu kwa Rais Samia.
Mimi ni Mwanachi wako mkazi wa Goba mwaka wa 12 huu. naleta malalamiko kuhusu njia ya Tegeta A iliyoungana na Kulangwa Nimeishi huku miaka mingi na...
Aliyesambaza taarifa kapatikana waarifu Bado hawajapatikana😂#
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Amos Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani humo...
USAMBAZAJI WA UMEME KWENYE VITONGOJI 374 VYA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Takwimu:
(1) Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374
(2) Vijiji vyote 68 vina miundombinu ya...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, leo nimejaribu kudownload app ya Azam pesa na kujaribu kucheki gharama zao, kiukweli wana gharama ndogo sana ukilinganisha na MNO wengine, ila shida sasa ni...
Hapa sisemei kwamba mtu ana phd / masters / degree ya udaktari, uhandisi, uhasibu, Sheria, masoko, IT. La Hasha !! Hizi taaluma ni kipengere kidogo kwenye elimu, mtu alieelimika huwa kajenga...
Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea...
Tarehe 8 Agosti ni siku muhimu inayoadhimishwa kwa matukio tofauti duniani kote. Ingawa kila tukio lina umuhimu wake wa kipekee, yote yanashiriki lengo moja la kuhamasisha na kutoa uelewa juu ya...
Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏
Namna pekee...
Ni wazi dunia au tuseme taifa letu linakaribia kupitia DHIKI KUU mambo ya kufanya ni pamoja na;
1. Kuweka akiba ikibidi kuwa na akaunt mbili ili moja uitumie kuweka akiba
2. Kuwatengenezea...