Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke. Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza...
0 Reactions
0 Replies
365 Views
Huyu ni robot maarufu sana duniani, bila shaka unamfaham sababu yeye yupo kwa ajili ya kukuliwaza kingono ili akili yako itulie, uwapo naye ni unajipimia unavyotaka hakuna siku atanuna au kuingia...
13 Reactions
63 Replies
3K Views
Mimi ni Mwanakijiji wa Hoyoyo, kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani, miaka kadhaa nyuma tulipata ugeni wa kutembelewa na Mke wa Rais Kikwete, Salma Kikwete wakati huo JK akiwa bado yupo madarakani...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mpk Sasa nimefuatilia vyombo vya habar ving sana sio Ayo tv, sio kitenge tv...kimya Cha kaburi! n vichache mno vimeweza kutoa taarifa hii ikiwemo Jamii forum.. Hizi taarifa n tokea Jana usiku...
2 Reactions
10 Replies
737 Views
Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au...
8 Reactions
10 Replies
572 Views
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri...
10 Reactions
54 Replies
2K Views
Jaman wakuu nimenunua Remote, Ila hazi acces devices zake, kuna Remote ya Abooda Tv na kuna remote ya Azam king'amzi, ila hazi acces nikibonyeza hazfanyi. Je, kuna code yoyote natakiwa kuweka ili...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi. Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
NZI Licha ya kuonywa na wazee,Chuwa aliziba masikio. Akaendelea kutumia fedha za mabeberu ili kuendesha kampeni zake. Baada ya kushinda uchaguzi na kuingia madarakani,mabeberu wakataka rejesho...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Naomba uongozi wa JamiiForums umualike Msemaji Mkuu wa Serikali tumuulize maswali ya moja kwa moja. Aa serikali ifungue akaunti yake rasmi humu JamiiForums ili madukuduku yetu yafike moja kwa...
4 Reactions
17 Replies
577 Views
Naomba hili swala liwekwe wazi, tusilete huruma kwenye ukweli, kama wewe ni mzazi ebu jitahidi kuitengeneza kesho yako usiwe msumbufu Kwa watoto huko mbele ya safari. Ipo hivi swala la mzazi...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Nukta. Licha ya kuonywa mara kadhaa, Chuwa hakuwa msikivu. Aliendelea na tabia zake, japo alifahamu kuwa tabia hizo zinamuumiza sana mkewe. Siku moja,Chuwa alifanya yake tena. Aliporudi...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Mwalimu wa shule ya kulelea watoto Tabora anatafutwa kwa kosa la kulawiti mtoto wa shule Mwalimu mkuu wa shule hioo amesikitika sana na kusema mtoto huyo alikuwa akifanywa chooon Mama wa Mtoto...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda...
9 Reactions
1K Replies
64K Views
Anonymous
Mimi ni Mkazi wa Kibaha kwa Mfipa, Kata ya Viziwa Ziwa, Kitongoji cha Sagale Kabimbini (Sauti ya Umma) Mkoani Pwani. Ninajitokeza kuandika malalamiko kwa niaba ya Wananchi wenzangu zaidi ya 340...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sasa Iko hivi baada ya Idris Elba kupewa heka 800 kujenga Jumba la sanaa Zanzibar, je mtanzania bara anaweza kupewa heka 1 ajenge kaofisi kake ka kuuza kazi za sanaa hapo Zanzibar? Kama ndiyo...
4 Reactions
20 Replies
877 Views
As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea...
109 Reactions
889 Replies
60K Views
Wakati mwingine tunaweza kupoteza njia zetu katika maisha na kujiuliza ni kuhusu nini yote hayo. Tunaweza kuzama katika hali na uhusiano ambao hayatimizi mahitaji yetu na kufanya tusihisi furaha...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
MAANA YA KIROHO YA KUMTUMAINI MUNGU.. Sehemu ya tatu.. 3️⃣ Kumtumaini Mungu ni kuamini ahadi za Mungu kwenye maisha yako kuwa zitatimia hata kama ni kwa kuchelewa... ✔️ Maana nyingine ya...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom