ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,402
Ni wazi dunia au tuseme taifa letu linakaribia kupitia DHIKI KUU mambo ya kufanya ni pamoja na;
1. Kuweka akiba ikibidi kuwa na akaunt mbili ili moja uitumie kuweka akiba
2. Kuwatengenezea watoto wako miradi ya kufanya kwa mfano leo hii watoto wa kike wanabeba mpaka zege hii si sawa kabisa watoto wa kike kupora kazi za watoto wa kiume hatimaye watoto wa kiume kuishia kukaa vijiweni na kuwa wavivu.
3. Kumbuka kuweka akiba ya vyakula visivyoharibika hasa nafaka kana njugu, kunde ,mahindi ,maharage ,mafuta n.k
4. Kupunguza unywaji wa pombe na umalaya.ikibidi kama unaweza ni heri ukaoe hata kwenu kijijni mwanamke asiye na mambo mengi.umalaya una gharama kubwa sana ubachela gharama ni kubwa kuliko kuishi na mwanamke.
5. Epuka madeni